Kwa nini kumekuwa na ongezeko kubwa la watoto kulelewa na mama pekee?

Acha washugulikiwe.. Ukianzia mbali zaidi haya mambo ynakuw Kwa utandawazi! Ulaya huko sijui Kam utandawazi una athar hasi NYINGi Kam kwetu.. Kila mtu anatak aonekane kajiapdeti! Nasema hivi iii "Acha washughulikiwe"
 
2) Chips mayayi na kuku
3) Zawadi za vijora na keki za birthday
4) Offer za savannah na k-vant
5) Hali mbaya ya uchumi
6) Malezi mabaya ya Familia
 
madada wa siku hizi maisha wanayo taka si maisha yanavo taka.
wengi wanataka kufikia jambo ambalo sio steji yao.
kama kumiliki mali kwa haraka,maisha mazuri,kuwa na mtu mwenye pesa,kurahisisha mambo,subira ndogo.

hii kitu hata kuna mmoja nilikuwa na mahusiano naye ila kutokana na hayo niliyojifunza aliishia kuzaa na mume wa mtu na amjali na paka kwenda kupelekeshana ustawi wa jamii.wakati alivokuwa kwangu ukimpa muelekeo na mpaka kujitambulisha kwao ila nili samehee mahali.

karma ina mtafuna
 
Wewe haukuwepo kwa miaka 3 lakini visababishi unavijua kama mtu aliyelifanyia utafiti jambo hilo kwa miaka 3!!
 
Tamaa ya kupata pesa, wanaamini wakizaa na mtu mwenye kipato, ndio utakuwa uhalali wa kummiliki; matokeo yake anakutana na baharia mjanja, akishamjaza upepo anapambana na yake na kumtelekeza. Ukifuatilia sana, hawajazaa na watu masikini.

Kweli.. mtakatifu kweli naamini hii
 
Back
Top Bottom