yule hana diplomasia kama IraniWewe Tatizo ni Allah, ushetani wake unawafanya waumini wake wasiaminiwe kuwa na silaha za maangamizi
Mbali na nyuklia, ile kujifanya mbabe mashariki ya kati ndio tatizo; wakimalizana na Iran, wataamia UrusiIran imeshambuliwa kwa sababu ya Nyuklia si ndivyo ?
Sababu anayo tayari Nyuklia.Wadau kwa nini huyu Kim wa Korea Kaskazini na utawala wake hawa shambuliwi kwa kuwa na silaha za Kinyuklia kama anavyo hisia Iran kutaka kuwa nazo hizo silaha japo haijathibitika mpaka sasa kama anazo
Sawa Moderator nimefuta
Hii mbali na umeongeza wewe ?Mbali na nyuklia, ile kujifanya mbabe mashariki ya kati ndio tatizo; wakimalizana na Iran, wataamia Urusi
Korea kaskazini ana rasimali gani ambazo zinaweza kuwa exploited Kwa wingi na watu wa west?Wadau kwa nini huyu Kim wa Korea Kaskazini na utawala wake hawa shambuliwi kwa kuwa na silaha za Kinyuklia kama anavyo hisia Iran kutaka kuwa nazo hizo silaha japo haijathibitika mpaka sasa kama anazo
Hii ni mipango ya magharibiHii mbali na umeongeza wewe ?
Unachukulia mambo kiwepesi wepesi tu Kwa nini waamie Urusi na Urusi unaichukuliaje wewe bwana mdogo ?
Kwamba silaha za kinyuklia unagawa tu kama maembe ? Unauelewa hata kidogo tu kuhusu uhifadhi wa silaha hizo ?Issue ya iran ni tofauti, amekuwa akiwapa silaha vikundi ambavyo ni hatari. Hezbula hamas n.k hii imeleta taharuki kubwa kwa israel, marekani na baadhi ya nchi za kiarabu. Kama vikundi hivi vitakuwa na silaha za nyuklia basi zitaweza kutumiwa vibaya.