Simba imetengeneza status yake kwamba ni level za magiant ya Africa,yaani kila mwaka watapimana ubavu mara 2 (home and away) na magiant kama al ahly, wydad n.k
Kisaikolojia ni kuwa timu ya ndani inaamini Simba ni kipimo sahihi cha wao wamekuwa(grow) kisoka .Ukimfunga Simba unajua hata ukienda CAF utamudu. Yote kwa yote, hali hiyo inawaimarisha Simba kuwa na ushindani kikosini ,mfano mzuri Simba kaenda eobo fainali lakini bado mashabiki wanaona ubora hautoshi , hio ni kiyume na timu zingine