Kasima ya Safari imekata..Baada ya Maazimisho ya Miaka 50 ya Uhuru, kumekuwa na Ukata Mkubwa sana Serikalini..Safari za viongozi zimepunguzwa kwa asilimia 80%
Kaka toka ameingia Madarakni hajawahi kutumia mshahara wake..safari zote anazofanya zina gharimiwa na Serikali, ni za Kiserikali kwa maana nyingine..mshahara hautumiki kwake hvi sasa.mkuu unataka kusema mshahara wake wa kila mwezi hawezi kusafiri na kurudi na kutanua anavyotaka?
wamemchoka huko anakoenda maana hamna cha maana anachoomgea zaidi ya kujichekesha na kulala tu kwenye mikutano sijui aliumwa na mbung'o utotoni
wakuu naombeni kama kuna mtu mwenye hizi taarifa,tunasikia viongozi wa dini walimfata na kumwambia aache kabisa tabia ya kusafiri hovyo hovyo kwani ni mzigo kwa taifa
tumefatilia sana hizi taarifa lakini nafikiri zilifanyika kwa siri sana,mwenye taarifa atutonye kidogo tunatengeneza biography ya huyu mweshimiwa kikwete!