Kwa nini inatokea hii?

Kwa nini inatokea hii?

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
15,202
Reaction score
25,378
Habari wadau.

Najua wengi mnatumia sana hii mitandao ya kijamii na facebook ukiwa mmoja wapo.
Ninachotaka tujuzane ni kuhusu jambo ili hapa.

Ukiwa ni mtumiaji wa muda mrefu au kipindi flani hivi utagundua ni kweli, kuna wakati unapo_log in na kuangalia ujumbe/post mpya au marafiki, mara nyingi katika wale watakao appear karibu zaidi ili uwaongeze kwako ni ndugu, jamaa au rafiki wa karibu.

Kutokana na hilo jiulize kwa nini picha zinazokuja na kujionesha kwa karibu ni za watu unaowafaham na siyo za wasio karibu na wewe?

Nawasilisha.
 
Wanaangalia mutual friend

Mfano.
Darasani mulisoma wanafunzi 10 na wote mupo facebook. Wewe ume add wanafunzi wenzako 8 ila mmoja huja mu add. Ila wenzako 9 kila mmoja amemuadd mwenzake. Inamaana yule mmoja ambaye huja mu add itakuwa ni mutual friend mara 8 hivyo itakuwa ni rahisi kutokea juu pale unapotafuta marafiki.

Pia wanaangalia information zako kama shule, unapofanyia kazi, interest zako na kuzitumia hizo info kukutafutia rafiki
 
Habari wadau.

Najua wengi mnatumia sana hii mitandao ya kijamii na facebook ukiwa mmoja wapo.
Ninachotaka tujuzane ni kuhusu jambo ili hapa.

Ukiwa ni mtumiaji wa muda mrefu au kipindi flani hivi utagundua ni kweli, kuna wakati unapo_log in na kuangalia ujumbe/post mpya au marafiki, mara nyingi katika wale watakao appear karibu zaidi ili uwaongeze kwako ni ndugu, jamaa au rafiki wa karibu.

Kutokana na hilo jiulize kwa nini picha zinazokuja na kujionesha kwa karibu ni za watu unaowafaham na siyo za wasio karibu na wewe?

Nawasilisha.

hii wanaangia friends of friends, pia location ulipo, shule mlizosoma pamoja etc etc
 
Nope
Mara nyingi wanaangalia how una synchronize contact zako na hiyo ndio njia nyepesa
 
Ukiipa facebook access ya contact basi contact zote zitakuwa sync na data base ya facebook na kama yupo ambaye anatumia facebook na alisajili no yake facebook basi ndio hao unawaona "people you may know"
Mengine ni mutual friend, location, kazi, shule nk
 
Back
Top Bottom