bwii
JF-Expert Member
- May 24, 2014
- 1,432
- 2,678
Salaam wandugu!
Kuna kitu mimi huwa kinantokea kila mara(karibu mara 5 kwa wiki).
Ni hivi huwa mara nyingi inapofika usiku kuna muda nkiangalia saa nakuta ni muda ule ule,yaani kama ni saa tatu kamili bas ni hivo hivo kila siku.
Kiukweli sina ratiba maalum kufanya kitu hikohiko inapofika wakat fulani.ila ninaweza kuwa nmelala bahat nikishtuka naangalia saa nakuta ni muda uleule ambao niliangalia saa siku ya/za nyuma yake lakin katka mazingira na shughuli tofaut tofauti.
Hii imetokea kwa muda wa miaka zaid ya minne sasa.mwanzoni niliona ni kitu ya kawaida ila kwa sasa nakua na wasiwasi.naamini humu kuna wajuvi wa mambo mnaweza kunisaidia kwa hili.
Je! ni hali ya kawaida au kuna kitu ambacho kiko nyuma ya pazia?