https://www.jamiiforums.com/member.php?u=100563 hivi hujajijua kuwa unampenda?
asiyekupenda hana muda wa kukuongelea, me naona ulimnyima kwa muda, baada ya muda utampa akijitahidi kung'ang'ania kwani ulimjengea mazingira ya urafiki (huku mnafiki), .....