Nyox official
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 597
- 455
hivi nyege kwako haziishi?Nina NY.ege miyeee
Hahaa, kwani miaka 30 ndyo niaje niaje?, Mimi nna 30 now na sioni hata dalili so nianze kuwapigia miluzi [emoji30] [emoji30] . wakati sahihi ni wakati wa Bwana hivo hata nikiwa 40s wakati ukifika ntaolewa tuu. Ila ntakimbizana tu na menopause ntazaa faster faster vitoto vyangu vitano[emoji3] [emoji3]Ukifikia umri wa miaka 30 huna boyfriend mwenye ramani,inabidi wewe uanze kutongoza,lasivyo utazeekea kwenu.
ha ha ha ha kama usemayo ni ya kweli,nakushauri tafuta mtu uzae naye sasa;ili kuepusha changamoto za uzazi huko mbeleni.Hahaa, kwani miaka 30 ndyo niaje niaje?, Mimi nna 30 now na sioni hata dalili so nianze kuwapigia miluzi [emoji30] [emoji30] . wakati sahihi ni wakati wa Bwana hivo hata nikiwa 40s wakati ukifika ntaolewa tuu. Ila ntakimbizana tu na menopause ntazaa faster faster vitoto vyangu vitano[emoji3] [emoji3]
ha ha ha ha na zikizidi sana huwa ni ugonjwahivi nyege kwako haziishi?
Hapa naona umenigusa moja kwa moja mimi walaqhii Mkuu,Mwanamke akishakuwa na kazi inayompatia kipato kizuri tunasema ana kazi nzuri maisha mazuri ni automatically yani yanajiset yenyewe, hii ni level ya kutumia akipendacho sio akipatacho, hapa mwanamke na yeye anachagua yupi mwanaume kamvutia sana atii kiu yake na maisha yaendelee, akitaka mtoto atazaa na amtakae kwakuwa anajiweza. Mwanamke huyu kwake kuolewa ni utumwa, na ni kweli.
Labda anajikojolea kitandani mkuuMwanamke mzuri,mrembo,una elimu nzuri,una kazi nzuri; kwa nini hauolewi?
View attachment 1131891
Mwanamke mzuri,mrembo,una elimu nzuri,una kazi nzuri; kwa nini hauolewi?
Msituchoshe na hizi nyuzi kuolewa ni bahati kuzaa ni majaaliwa
Kwani kila mtu anafaa kua mchumba??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndo hapo ni kwenda kuharibiana tu uhuru na raha za vile ukiwa mwenyewIli iweje?Fedha ipo,kazi nzuri,anaishi pazuri,watoto anaye(alizaa na fala fulani hivi),anasomesha private,nyumba kali,usafiri wa nguvu anahudhuria sheli kisawasawa nk.Sasa aolewe ili iweje wakati akijisikia genye doldo zipo au mjinga moja atajikoki akipiga anaonyeshwa mlango wa kutokea.Waoaji wenyewe tabu tupu maisha kuunga unga hata baiskeli shida kwako.
Shubamiti,bora wajijalie tu.Ingawa kuolewa ni heshima kwenye Jamii.
Ingawa wengine kutokuolewa sio tatizo la wanaume bali wamepinda kitabia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]una kiba100??Msituchoshe na nyuzi za KIBAMIA aaagh!!!
Ebu waulizeMbona hamtuwowi?!
Nawe mwanamume "handsome" kwa nini huowi?Mwanamke mzuri,mrembo,una elimu nzuri,una kazi nzuri; kwa nini hauolewi?
View attachment 1131891
Ndio una hela,gari,nyumbaa?inna kumbe upo singo,naja pm tuyajenge basi
Ndio una hela,gari,nyumbaa?
nna ajira ya shamba tu kibiti,kama unaweza njoo tuishi tulime hukuNdio una hela,gari,nyumbaa?
[emoji23][emoji23][emoji23]sawanna ajira ya shamba tu kibiti,kama unaweza njoo tuishi tulime huku
naja pm basi usifunge[emoji23][emoji23][emoji23]sawa
Mwanamke mzuri,mrembo,una elimu nzuri,una kazi nzuri; kwa nini hauolewi?
View attachment 1131891