Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,811
- 40,567
Msituchoshe na hizi nyuzi kuolewa ni bahati kuzaa ni majaaliwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sawa
ha ha ha ha ni mawazo tu uyafuate usiyafuate mwisho wa siku ni wewe na familia yakoMliagana kwamba kila mtu anafuata hayo maandiko?
Katiba inasema kila mtu ana uhuru wa kuishi maisha yake anavyotaka ilimradi asivunje sheria.
Hata hayo ni maandiko nayo.
Unapowashadadia watu kuhusu kuolewa, unawanyanyapaa na kuwaingilia katika haki zao za kikatiba.
ha ha ha ha utafanyaje?Anayenipenda simpend nayempenda hanipendi basi tafurani tu..lakin dawa inachemka kitaeleweka ha ha ha
Haya daktari endelea kutest majibu.Tunaishi kwenye jamii na matatizo ni ya jamii;wanaofanya utafiti sio kwamba hawana majibu,majibu wanayo ila wanaenda field ili kujiridhisha/ku-test majibu waliyonayo kama ni sahihi;nadhani umenielewa.
ha ha ha ha majibu ninayopata mpaka sasa hivi kuna baadhi wameanza kuchanganikiwa kutokana na umri kukimbia,na wanakuwa wakali kweli.Haya daktari endelea kutest majibu.
mi ni daktari wa wanawake kwa hiyo naelewa
Itajulikana tuha ha ha ha utafanyaje?
ha ha ha ha akili kubwa hiiπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ sikuwahi ona swali ka hili nahisi mtoto ndo kauliza hili swali
Kwenye hospitali yangu niliyojenga mwenyeweDaktari gani mjinga kiasi hiki.unafanya kazi wapi?
hiyo kwel mkuu ila swala lakusema kwanini haolewi ni swala mtambuka sana na ni swala linategemea pande mbili, mi nikitaka kuoa nafanya hivyo ila mwanamke hawezi nioa, alafu kunavitu vingi sana katika kuoana dah hata kuelezea inakuwa ngumu mkuu. but kuchanganyikiwa baada ya kuchelewa kuolewa huwa inatesa sana na wengine wanakubali kuzaa na yoyote ilimradi apate mtoto na ikitokea nae anapata shida kumpata hapo ndo huwa hatari na yapasa uwe mbali nae maana anaweza kufa naweee ππππha ha ha ha majibu ninayopata mpaka sasa hivi kuna baadhi wameanza kuchanganikiwa kutokana na umri kukimbia,na wanakuwa wakali kweli.
Hata mie mwenyewe sijuiMwanamke mzuri,mrembo,una elimu nzuri,una kazi nzuri; kwa nini hauolewi?
View attachment 1131891
Wengi wao unakuta mwanzoni walikuwa wanachagua sana....mwisho wa siku wanajikuta umri umeenda;kuna wimbo fulani wa zamani kama sikosei utakuwa ni wa Daudi Kabaka,unaozungumzia msichana mzuri kwa nini auolewi.hiyo kwel mkuu ila swala lakusema kwanini haolewi ni swala mtambuka sana na ni swala linategemea pande mbili, mi nikitaka kuoa nafanya hivyo ila mwanamke hawezi nioa, alafu kunavitu vingi sana katika kuoana dah hata kuelezea inakuwa ngumu mkuu. but kuchanganyikiwa baada ya kuchelewa kuolewa huwa inatesa sana na wengine wanakubali kuzaa na yoyote ilimradi apate mtoto na ikitokea nae anapata shida kumpata hapo ndo huwa hatari na yapasa uwe mbali nae maana anaweza kufa naweee ππππ
[emoji3][emoji3][emoji3]Acheni mapovu oleweni [emoji3][emoji3]
Ungeanza wewe kujali mambo yako wewe na familia yako, badala ya kushadadia mambo ya watu usio na nasibu wala ahali nao , ingependeza zaidi.ha ha ha ha ni mawazo tu uyafuate usiyafuate mwisho wa siku ni wewe na familia yako
ha ha ha ha bila mimi kuandika hapa unge-comment wapi, simple logicUngeanza wewe kujali mambo yako wewe na familia yako, badala ya kushadadia mambo ya watu usio na nasibu wala ahali nao , ingependeza zaidi.
Ninge comment wapi kuhusu nini?ha ha ha ha bila mimi kuandika hapa unge-comment wapi, simple logic
Pata kinywaji nakuja kulipa mkuuNinge comment wapi kuhusu nini?