Kwa nini hatuhitaji kukata tamaa?

Kwa nini hatuhitaji kukata tamaa?

Facha Don

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2016
Posts
343
Reaction score
317
Watu wengi tunakata tamaa katika mambo yetu/katika malengo tuliyojiweka kutokana na sababu mbalimbali zinazotuzunguka lakini kuna sababu ambazo mimi mpaka leo nazitumia katika maisha yangu ya kila siku ili kufikia malengo yangu niliyojiwekea.
5c461c69921ecf794403837b066d43ee.jpg

Sababu hizo ni hizi:-
√-Huna haja ya kukata tamaa kwasababu bado. upo hai.
√-Kwanini ukate tamaa ?
√-Kwanini? Ulijiwekea Malengo
√-Wanao ishi katika Malengo yao ni ambao hawaja kata tamaa
√-Ukisha katatamaa nini kinafuata?
√-Dunia inawapenda watu wasio kata tamaa
 
Ni kweli sio kukata tamaa ni kwamba inafika point mtu hujui ufanye nini maana hakuna opportunity ndio hapo tuna loose hope.
 
Back
Top Bottom