Mimi naishangaa ccm kwa kutumia nguvu kubwa kuiua chadema badala kutumia nguvu hiyo kuleta maendeleo. Watu wana teseka hakuna maji safi ya kunywa wala madawa hospitalini. Unashindwa kuelewa hiki chama kinafanya kazi gani?. Au kimetoka kuzimu nini!!. Wanaeneza udini, Ukabila na Ukanda bila hata kumwogopa Mungu?. Wanauza pembe za ndovu madwa ya kulevya bila woga!. Hakika ccm mmelaaniwa na adhabu yenu inayo wastahili ni kubwa sana. Mimi napenda kuwaambia ccm mwisho wenu umefika na mtaondoka penda msipende. Cdm ni mpango wa Mungu na hakuna shetani atakaye izuia kwa namna yoyote ile.