• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Kwa nini Ccm wanatumia nguvu kubwa kuiua Cdm kuliko kutumia nguvu hiyo kuleta maendeleo?.

S

Sengeon

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2011
Messages
529
Points
0
S

Sengeon

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2011
529 0
Mimi naishangaa ccm kwa kutumia nguvu kubwa kuiua chadema badala kutumia nguvu hiyo kuleta maendeleo. Watu wana teseka hakuna maji safi ya kunywa wala madawa hospitalini. Unashindwa kuelewa hiki chama kinafanya kazi gani?. Au kimetoka kuzimu nini!!. Wanaeneza udini, Ukabila na Ukanda bila hata kumwogopa Mungu?. Wanauza pembe za ndovu madwa ya kulevya bila woga!. Hakika ccm mmelaaniwa na adhabu yenu inayo wastahili ni kubwa sana. Mimi napenda kuwaambia ccm mwisho wenu umefika na mtaondoka penda msipende. Cdm ni mpango wa Mungu na hakuna shetani atakaye izuia kwa namna yoyote ile.
 
G

G. Activist

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Messages
482
Points
195
G

G. Activist

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2010
482 195
Master mind wao ambao wapo jirani ya vigogo, ni wa majungu tu!! Hakuna wakushauri vitu vya msingi
 
salimkabora

salimkabora

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2012
Messages
2,445
Points
1,225
salimkabora

salimkabora

JF-Expert Member
Joined Nov 10, 2012
2,445 1,225
Mimi naishangaa ccm kwa kutumia nguvu kubwa kuiua chadema badala kutumia nguvu hiyo kuleta maendeleo. Watu wana teseka hakuna maji safi ya kunywa wala madawa hospitalini. Unashindwa kuelewa hiki chama kinafanya kazi gani?. Au kimetoka kuzimu nini!!. Wanaeneza udini, Ukabila na Ukanda bila hata kumwogopa Mungu?. Wanauza pembe za ndovu madwa ya kulevya bila woga!. Hakika ccm mmelaaniwa na adhabu yenu inayo wastahili ni kubwa sana. Mimi napenda kuwaambia ccm mwisho wenu umefika na mtaondoka penda msipende. Cdm ni mpango wa Mungu na hakuna shetani atakaye izuia kwa namna yoyote ile.
Hakuna mpango wa mungu wa aina yoyote hapo cdm wala ccm haijatumia nguvu nyingi kama unavyofikiri; wao wamegusa tu pale fyuzi inakolipukia baaac ukawa mpango mzima. Wanawaonyesheni kwamba chama hakiwezi kuendeshwa kama klabu ya mpira kila mchezaji na mashabiki wake. Cdm haina wanachama ina waganga njaa tu na wahuni na ccm wanalijua hilo na ndio mtaji wao wala hawahitaji nguvu nyingi kuisambaratisha cdm. Pamoja na maovu yote uliyotaja bado ccm iataendelea kudunda katika siasa za tanzania kwa miaka mingi ijayo hadi kitakapoibuka chama mbadala lakini si cdm itakayoliweza hilo.
 
Forum statistics

Threads 1,403,521
Members 531,254
Posts 34,425,569
Top