Head current
JF-Expert Member
- Jan 17, 2013
- 479
- 128
umesahau pia life starts at 40
umesahau pia life starts at 40
Musa alifunga kwa siku 40 mara mbili. Mara ya kwanza wakati anaenda kupewa Amri Kumi na mara ya pili wakati anamwombea Haroun ili Mungu asimwangamize
Musa alifunga kwa siku 40 mara mbili. Mara ya kwanza wakati anaenda kupewa Amri Kumi na mara ya pili wakati anamwombea Haroun ili Mungu asimwangamize
Masela gani hao?tujuzane!Afu unajua ni vipi Mr. Super, masela wengine wanafunga huku wanakula na kunywa lakini huyo mzee hakula wala hakunywa. Tupate wapi tena mtu kama huyo ambaye Bwana anakaa ndani yake.
Kwanini miez 12, masaa 12, wanafunz 12 wa Yesu, makabila 12 ya Israel...
Masela gani hao?tujuzane!