Jinsi ninavyomfahamu Maalim Seif ni mtu wa visasi kitendo cha kutangaza kumng'oa ukatibu basi vita hiyo Mh Hamad ujiandae kwa vita ya visasi na kwa sasa anadola ni bora ukawa mwangalifu kwani ukae ukijua hata CCM hawatataka atoke kwani kitendo hicho kitakuwa nikuyumbisha amani Zanzibar kwani wana amini kwamba yeye ndiye ameshikilia hiyi amani.Na msaada wowote akiuitaji tika CCM atapewa ili kulinda hii serikali ya mseto.
Maalim kashika wadhifa wa katibu mkuu muda mrefu sana kwanini hataki mwingine aonyeshe kipaji chake ???????.
Jinsi ninavyomfahamu Maalim Seif ni mtu wa visasi kitendo cha kutangaza kumng'oa ukatibu basi vita hiyo Mh Hamad ujiandae kwa vita ya visasi na kwa sasa anadola ni bora ukawa mwangalifu kwani ukae ukijua hata CCM hawatataka atoke kwani kitendo hicho kitakuwa nikuyumbisha amani Zanzibar kwani wana amini kwamba yeye ndiye ameshikilia hiyi amani.Na msaada wowote akiuitaji tika CCM atapewa ili kulinda hii serikali ya mseto.
bado ukifika ataachia ngazi bila kulazimishwahivi muda wa kuondoka mbowe madarakani umefika? Naomba nipatiwe jibu na ntogwisangu.
Wanaamini kuwa Katibu mkuu na M/kiti ni WATUMEMaalim kashika wadhifa wa katibu mkuu muda mrefu sana kwanini hataki mwingine aonyeshe kipaji chake ???????.
I hate such kind of maoni, yaani ww umeona Rashid kusaka hiyo nafasi mroho wa Madaraka na yule nayefang'ang'ania sio mroho wa madaraka. Jirekebishe KOKO, ww sio wa kuwazxa hivyo badilika si maanishi ubadlike uwe nyani hapana, namaanisha kifikraWaroho wa madaraka utawajua tu! Napita tu bajameni!
Huna tofauti na CHANGUDOA,leo kwa mwanaume huyu kesho kwa yule.Shame on you!na hapo ndipo sasa utaona watu wanachukulia sisa ni kula!!Rashid is perfect!!!!maalim aondoke kama baadhi ya wanachadema tunasema mbowe aondoke!!!