ii:smile-big:Huwezi kuendesha nchi kwa ushauri wa mke wakati katiba ipo utakuwa umemgeuza mkeo kuwa katiba ya nchi! Wazo la kumiliki silaha ni very sensitive na muhusika anawajibika kwa hilo ndiyo maana alikuuliza wazo umetoa wapi! Wtz hawakatai ushauri wa mke hasa katika biashara, na maendeleo kwa ujumla
ii
Sasa Baba wa Taifa alijuaje kama Mwinyi anafata ushauri wa mke?
Kwa sababu alikuwa hafuati katiba ya nchi:becky::becky::becky:
Hata miye nimeshangaa..kam awanawake wanamiliki silaha, je wao wazo la awali la kumiliki silaha lilizingatiwa vipi ukitilia maana hawatakiwi kutia neno kwenye hili.Ina maana Tanzania hakuna Wanawake wanaomiliki Silaha??
" USHAURI WA MKE" ni msemo tu kuonyesha mtu anayefanya mambo rasmi bila kufuata utaratibu rasmi.
Katika maisha ya kila siku, mwanaume yeyote mwenye kupenda maendeleo haachi kumshirikisha na kutaka ushauri kutoka kwa mkewe. Ukipenda kwenda mbali zaidi, wanaume viongozi, wenye wake makini hupata ushauri mara kwa mara kutoka kwa wake zao. Hii ni mpaka kwenye ngazi za uongozi wa kitaifa.Wake huandaa hotuba na mada mbalimbali zenye kugusa sera na miongozo kuelekeza hatma ya nchi, taasisi nakadhalika.Msijidanganye kuwa ati wanawake wahashauri hata Tanzania.Ila ukikuta mwanamke bomu ndio utaishia kupata ushauri bomu pia.Kumbuka tumepewa karama ya ziada sisi wanawake tuna uwezo kushawishi na kupata tutakacho bila nguvu.
Kwani usipofuata katiba inamaanisha kuwa utakuwa unashauriwa na mkeo? Kwa nini isiwe rafiki, mama, mtoto, n.k.?
:whistle:Hapo kwenye red ni kweli kabisa!na ndio maana mwanamke akiaamua kumpata mwanaume fulani kimapenzi anampata kiulaini tu!kila aina ya mitego!