Kwa nin bloggers wengi TZ Wanalalamika adsense hakuna pesa siku hizi????mawazo yangu

mishe bwoy

Senior Member
Oct 26, 2014
116
34
Niaje wakuu..nimeona nije na hii topic ila ni mawazo yangu kama una lakuongeza karibu au nimekosea mahali tuambiane..

Kwa kawaida kibongo bongo bloggers wengi tunategemea sana matangazo ya google adsense ili kujipatia chochote kitu mtandaoni..

Ila siku za sasa sio kama zamani kwan hali ya kupata dolas imekua ni ngumu kutokana na competition iliyopo bloggers wametapakaaa wengi halafu wanaigana style ya kublog hivyo kupata pesa inakuwa ni ngumu...nin cha kufanya??

Kwa jinsi nilivyouatilia mimi ..Adsense wanalipa perclick na impresion..amabpo kila click ina bei yake kulingana na uzito wa tangazo..mf tangazo la gari uwezi linganisha na tangazo la urembo..So matangazo yatatokea kulingana na content iliyopo kwenye website/blog yako,,,,,kwa mfano kama blog yako inahusika na magari matangazo mengi yatatokea yatakuwa yanahusiana na magari..kama blog ni ya afya matangazo yako yatakuwa yanahusiana na afya/..

Sasa kibongo bongo Pay Per Click<CPC> inarange 0.01-0.07$..lakini ukiangalia kwa wajanja cpc inaenda hadi 3$..Na unaambia kuna matangazo yana hadi 100$ per click ila kulingana na content yako na traffic matters(from austarlia U.S.A CDANADA etc)..

SO NIN KIFANYIKE KAMA UNATAKA KUPATA PESA ONLINE....
1.ACHANA NA UDAKU TAYARI uMESHAKUA YEBO YEBO

Cha kuangalia sasa ni kama unataka pesa au Tuzo..kama unaona udaku umekukataa au habari za kawaida zimekukataa kupata angalau 10$ per day basi jaribu kucreate blog yenye niche(TOPIC YA KUZUNGUMZIA KWENYE SITE YAKO) kati ya hizi hapa chini amabzo COST PER CLICK(CPC) zake zipo juu top five ni hizi
1.Blog ya afya..Hii matangazo yatakayotokea yatakuwa yana CPC kubwa hadi 25$ per click but inategemea pia aliyebonyeza anatokea nchi gani..nchi nzuri ni kama U.S.A,AUTARLIA.CANADA,NETHERLAND ETC..
Unaweza ukawa unaandika kuhusiana na afya

AINA ZINGINE ZA NICHE NZURI NI KAMA VILE
1. Technology Niche

2. Insurance

3. Cars and Vehicles related Content

4. Make Money Online Tips

SHIDA ILIPO NI HAPA

Je utapata wapi hao traffic/watembeleaji kutoka U.S.A,Canada,etc amapo pia wanapandisha kwa kiwango kikubwa sana R.P.M za blog

Kikubwa cha kufanya ni kutafuta facebook groups za nchi hizo na kujion nyingi uwezavyo,,,na iliufanikiwe unatakiwa uwe na groups sio chini ya 200 za nje tuu
njia ya pili ya kutafuta traffic ni kucoment kwenye blog za nchi tajwa hapo juu japo hawatakua wengi kama ukitumia facebook groups..najua quality traffic watakaokuletea maelf ya dola wanatoka google lakin kama unataka kufanikiwa chap chap fuata njia hizi mbili kwanza traffic kutokagoogle sio kitu cha siku week wala mwezi mmoja

ahasnateni

Nyngeza
kama utahitaji msaada wa kupata groups za nchi za nje ni PM nina friend wangu ana list ya facebook group za nje 7000groups...

logo.png

Hii imekaa vizuri ,ili kupata viewers wengi kutoka USA ,CANADA na AUSTRALIA ,tumia mtandao wetu huu ili share posts zako kwenye magroup yenye CPC kubwa na uweze kupata $10 kwa siku,Huu mtandao ni bure kabisa unachotakiwa kufanya ni kujisajiri tu.Pia Tunatengeneza mitandao kama hii kwa yeyote anayehitaji ,gharama zetu ni nafuu kabisa. Free Facebook Multi-Page/Group Poster

Tuwasiliane kupitia 0687-535650
 
kweli tumetofautianaa,,,mimi kadri siku zinasonga ndo nazidi kukandamizaa dolaaa 50 usd ndo minimum habari za udakuuu na magroup kama 1000nashere post zangu

Mkuu heshima kwako kama unapiga dolla 50 kwa siku.Hiyo ni sawa na 1500 per month.Huo ni zaidi ya mshahara wa senior engineer pale TANROADS.

Mkuu unaweza kutufafanulia zaidi harakati zako unazipigaje?
 
Nna uhakika wewe haupost udaku..unapost content amabzo ni kwa 18+<porn images>
Tofautisha udaku na izo content wengine hatuwezi hizo

Tuwekee link hapa
 
hahaha its very simplee...let me share this today ..
1:create a free blogspot ..usihangaike na domain
2:use code nirvana templete v.2
3:swich off mobilee version on templete
4:put 2 adsens on withinn teplete only..moja bellow post title nyunginee bellow post

5:put float adsense (300*600)..usiogope kufungiwa mi mwaka wa tatu sasa natumiaa..wengi waogaa..ina rise clicks
6:weka habari za udakuu+habari za mapenziii
7:change blog URL during sharing on fb eg:.CA,.US, then refreshh,,,then sharee,,,hiii ina rise rpm
8:share on 500+ pluss fb groups
9:enjoy your dollarss
10:bring feedback
NOTE:HII NI KWA WALEEE WANAOTAKAAA KUPIGAAA PESAA MAPEMAAA NA SIO MPKA BLOG IFAHAMIKEEE...MAMBO YA NICHE CONTENT,,,,UNAANZA KUPATA PESAA BAADA YA MIAKAA HAYO MAMBO SIAKIIII HII UNAFUNGUAA BLOG LEEOO PESAA LEOOO LEOOO ,,,HAYA NI MAONI YANGUUUU ,,,
 
6:weka habari za udakuu+habari za mapenziii zinalipaa asikwambiee mtuu wabongoo kwa ngonoo ndo kwaoo

Mkuu naomba nije pm yako
 
Nna uhakika wewe haupost udaku..unapost content amabzo ni kwa 18+<porn images>
Tofautisha udaku na izo content wengine hatuwezi hizo

Tuwekee link hapa
ok siwezi kukulazimishaaa kuaminiiii mkuuu,,,siweziii kutoa blog yang hewanii,,,kwa sababuuu,,,nltoaa miezii iliyopiaa watu waka click maatngazoo yanguuu nkafungiwa humu humu so i cant do i again...
 
hahaha its very simplee...let me share this today ..
1:create a free blogspot ..usihangaike na domain
2:use code nirvana templete v.2
3:swich off mobilee version on templete
4:put 2 adsens on withinn teplete only..moja bellow post title nyunginee bellow post

5:put float adsense (300*600)..usiogope kufungiwa mi mwaka wa tatu sasa natumiaa..wengi waogaa..ina rise clicks
6:weka habari za udakuu+habari za mapenziii
7:change blog URL during sharing on fb eg:.CA,.US, then refreshh,,,then sharee,,,hiii ina rise rpm
8:share on 500+ pluss fb groups
9:enjoy your dollarss
10:bring feedback
NOTE:HII NI KWA WALEEE WANAOTAKAAA KUPIGAAA PESAA MAPEMAAA NA SIO MPKA BLOG IFAHAMIKEEE...MAMBO YA NICHE CONTENT,,,,UNAANZA KUPATA PESAA BAADA YA MIAKAA HAYO MAMBO SIAKIIII HII UNAFUNGUAA BLOG LEEOO PESAA LEOOO LEOOO ,,,HAYA NI MAONI YANGUUUU ,,,

Code nivvana fuatilia vizuri utagundua ni nan wa kwanza Tanzania kuitumia...

Hii template ndio yenyewe inayokubali matangazo kudisplay kwenye pages za kiswahili tempalte zingine zinasumbua...

Tatizo la hii template ili upate dola unahitajika uwe na views wengi mf 20+ ndio unapata dola 50 ..wakati mim nkishare content zangu U.S.A na nchi kama izo views elf5 tuuu napata hadi dola 35+ thats means ukipiga 20k views unapata hadi dola 100+ kwa siku...Flaoting ni hatari kutegemea na bahati yako nina rafiki yangu alifungiwa akiwa na dola 1500 kisa kuweka hayo mafloating

Halafu kuna watu wanatumia code nivana wanapata hadi views 12000 lakin wanaishia 3$ kutokana inakandamiza rpm inakuwa down sana hizo .au .ae hazisadii kitu tumeshacheza nazo sana inategemea watu walioingia kwenye blog wanatokea sehemu gani...

Sio kwamba nakubishia hupati hzo pesa hapana ila kwako labda una nyota ya mapacha ndio maana kwa content izo unapata izo pesa...Wengine wana nyota za mashuke mpaka sasa watu wanakta tamaa ya blogging..
 
Bro unaweza ukatuambia blog template ipi unapata mpunga wa maana?
 
hahaha its very simplee...let me share this today ..
1:create a free blogspot ..usihangaike na domain
2:use code nirvana templete v.2
3:swich off mobilee version on templete
4:put 2 adsens on withinn teplete only..moja bellow post title nyunginee bellow post
5:put float adsense (300*600)..usiogope kufungiwa mi mwaka wa tatu sasa natumiaa..wengi waogaa..ina rise clicks
6:weka habari za udakuu+habari za mapenziii
7:change blog URL during sharing on fb eg:.CA,.US, then refreshh,,,then sharee,,,hiii ina rise rpm
8:share on 500+ pluss fb groups
9:enjoy your dollarss
10:bring feedback
NOTE:HII NI KWA WALEEE WANAOTAKAAA KUPIGAAA PESAA MAPEMAAA NA SIO MPKA BLOG IFAHAMIKEEE...MAMBO YA NICHE CONTENT,,,,UNAANZA KUPATA PESAA BAADA YA MIAKAA HAYO MAMBO SIAKIIII HII UNAFUNGUAA BLOG LEEOO PESAA LEOOO LEOOO ,,,HAYA NI MAONI YANGUUUU ,,,

Watu kama nyie ndio sababu kubwa tunatumia adblock... Mnakera sana na hizo popup ads ambazo zinajilamisha ku-cover an entire screen kila wakati alafu unakuta mmeficha option ya kulifunga... Kwa nini usiweke matangazo kwa mpangilio maalum tu, kuna njia nyingi ya kuingiza pesa kwa adsense sio kuyalazimisha matangazo, ka mnavofanya... Inakera kinoma..
 
AHsante kaka me nikionaga blog ina block content huwa sirudi tena
 
hahaha its very simplee...let me share this today ..
1:create a free blogspot ..usihangaike na domain
2:use code nirvana templete v.2
3:swich off mobilee version on templete
4:put 2 adsens on withinn teplete only..moja bellow post title nyunginee bellow post

5:put float adsense (300*600)..usiogope kufungiwa mi mwaka wa tatu sasa natumiaa..wengi waogaa..ina rise clicks
6:weka habari za udakuu+habari za mapenziii zinalipaa asikwambiee mtuu wabongoo kwa ngonoo ndo kwaoo
7:change blog URL during sharing on fb eg:.CA,.US, then refreshh,,,then sharee,,,hiii ina rise rpm
8:share on 500+ pluss fb groups
9:enjoy your dollarss
10:bring feedback
NOTE:HII NI KWA WALEEE WANAOTAKAAA KUPIGAAA PESAA MAPEMAAA NA SIO MPKA BLOG IFAHAMIKEEE...MAMBO YA NICHE CONTENT,,,,UNAANZA KUPATA PESAA BAADA YA MIAKAA HAYO MAMBO SIAKIIII HII UNAFUNGUAA BLOG LEEOO PESAA LEOOO LEOOO ,,,HAYA NI MAONI YANGUUUU ,,,

Bro heshima kwako once again.Unatupa elimu nzuri.

Bro kuhusu hiko kipengele cha kupost 500+ facebook pages,unafanyaje hivyo bila kufungiwa na facebook?Maana facebook wana spam detection bots ambazo zinafungia account si mchezo.

Natanguliza shukrani
 
Back
Top Bottom