Kwa niliyoyaona wodi ya wazazi, simtii mimba tena mke wangu

Aisee wakuu muwe mna waheshimu sana mama zenu kwa kweli ,kwa niliyoyaona wodi ya wazazi aiseee nimeathirika kisaikolojia sitamani tena kumtia mimba mke wangu nahisi kama atakufa kwa kweli.

Roho ilikuwa juu juu kipindi mke wangu anaenda kujifungua ,nilivyoingia wodi ya wazazi ndio kabisa nikaishiwa nguvu kwa kuwaonea huruma.

Jamani jamani wanawake wanateseka sana wakiwa wanajifungua yani nilihisi mke wangu hatoki akiwa hai lazima afe.

Kwa kweli hata nikipita mtaani minions mwanamke ana ujauzito natamani kulia kwa kumuonea huruma ,Sitamani kabisa kumpa mke wangu mimba kama kungekuwa na uwezekano wa kufunga kizazi kwa mwanaume ningeenda walai
Maana wanawake wanapitia mateso makubwa sana.

Ushauri wenu wakuu niondokane na hii hali .
Unafikiri ni wewe tu mwenye kitia mimba wacha usimtie uone kama hata beba wewe ni mwanadamu wacha kuingilia mipango ya Mungu wewe tafuta fedha ule kwa jasho mkeo mpe mimba azae kwa uchungu hayo ni mapenzi ya Mungu
 
ASA madaktari wakiume wanaozalisha si ndo wangekua wa kwanza kutowapa mimba wake zaoaana wao ndo wanashuhudia Mengi,vifo,maopareshen, utolewaji wa mimba,vifafa vya akina mamawakijifingua na Mengi ila akitoka hapo anawaza akaongeze mtoto wa 3 kwa mkewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee wakuu muwe mna waheshimu sana mama zenu kwa kweli ,kwa niliyoyaona wodi ya wazazi aiseee nimeathirika kisaikolojia sitamani tena kumtia mimba mke wangu nahisi kama atakufa kwa kweli.

Roho ilikuwa juu juu kipindi mke wangu anaenda kujifungua ,nilivyoingia wodi ya wazazi ndio kabisa nikaishiwa nguvu kwa kuwaonea huruma.

Jamani jamani wanawake wanateseka sana wakiwa wanajifungua yani nilihisi mke wangu hatoki akiwa hai lazima afe.

Kwa kweli hata nikipita mtaani minions mwanamke ana ujauzito natamani kulia kwa kumuonea huruma ,Sitamani kabisa kumpa mke wangu mimba kama kungekuwa na uwezekano wa kufunga kizazi kwa mwanaume ningeenda walai
Maana wanawake wanapitia mateso makubwa sana.

Ushauri wenu wakuu niondokane na hii hali .
Acha ujinga wewe mbona unaingaliaaa majukumu sio yako
 
Uwezekano wa kufunga kizazi kwa mwanaume upo.Nenda ukafunge
 
Miaka miwili ikipita yeye mwenyewe anakuwa na hamu ya mtoto na ukigoma kumtia mimba ataenda kwa wanaume wengine wenye roho ngumu.

Lakini pia wakitoka hapo baada ya siku 40 tu wameshasahau yote wanataka shughuli ya nguvu.

Usijitie mwema sana kwa wanawake, utalia wewe
 
Back
Top Bottom