sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,182
- 8,946
Habar zenu wanajopo, natumai mu wazima. Binafsi na familia yangu tuko poa kabisa.
Niwashukuru wale wote mlioniombea nikiwa safarini mpaka niliporejea hapa jijini. Hakika maombi yenu ilikuwa ni nuru ya kwenda na kurudi salama hapa jijini.
Nasema hivyo maana wakati wa kwenda Arusha njiani nilikutana na gari (coastal) nne zikipeleka wachaga Moshi wakiwa maiti). Wakati narudi nilikutana na gari tano, zote zikiwa zimebeba watu waliosindikiza maiti.
Kwa mbali nikaanza kuhisi kulia, maana lilinikumbusha msemo wa Mangi mmoja aliyepata kuniambia kuwa, "Siku hizi, bhana, Mangi sisi wachaga tunaondoka sana. Wajua tatizo ni kuwa wengi wetu hatutafuti pesa kama ilivyokuwa zamani tunatafuta na chupi. Hilo ndo tatizo'' (nimemnukuu jamani mniache)