Kwa nilichokishuhudia leo NHIF ni bima dhaifu mno

Kwa nilichokishuhudia leo NHIF ni bima dhaifu mno

Vibranium

Senior Member
Joined
Nov 17, 2018
Posts
184
Reaction score
430
Kwa nilichokishuhudia leo NHIF ni bima dhaifu mno kama umeshindwa ku_cover opereshen ndogo ya gharama ya Million moja mpaka ulipie.. tena Bima ya mwajiriwa

Au labda package kachagua ndogo
 
Kwa nilichokishuhudia leo NHIF ni bima dhaifu mno kama umeshindwa ku_cover opereshen ndogo ya gharama ya Million moja na laki tano mpaka ulipie.. tena Bima ya mtumishi

Sasa mfuko wa nn kama hali ndio hiyo.. Mfuko wenye kukusaidia vitu kama ultrasound, xray na vijipanadol.. HAKUNA MFUKO UBABAISHAJI TU
Hiyo operation imo miongoni mwa huduma za kifurushi unacholipia? Isije ikawa ulijiunga bila kusoma orodha
 
Kwa nilichokishuhudia leo NHIF ni bima dhaifu mno kama umeshindwa ku_cover opereshen ndogo ya gharama ya Million moja na laki tano mpaka ulipie.. tena Bima ya mtumishi

Sasa mfuko wa nini kama hali ndio hiyo.. Mfuko wenye kukusaidia vitu kama ultrasound, xray na vijipanadol.. HAKUNA MFUKO UBABAISHAJI TU
Unajua nchi ikishakuwa na corruption na watu kutaka kona kona kwa kila kitu basi ni changamoto sana kutoa huduma kwa wananachi. Siku za nyuma nilishashuhudia watu wazima waki-collude na wahusika na kutibiwa kwa bima za watu wengine hasa watoto. Namna hii bima haiwezi kujiendesha na ndicho kilichotokea.
 
Bima yenye nguvu ni walio nayo watunga sheria na vigogo wa serikali ,hizi zingine ni ushahidi tu
 
Back
Top Bottom