Baba wa Mapaka JF-Expert Member Joined Oct 17, 2016 Posts 1,828 Reaction score 1,664 Jul 11, 2018 #1 Nilikuwa nimekaa zangu pande flani mara akaja dada akauliza "Iv walioenda kupokea ndege wamesharudi? Maana mume wangu simuoni" Nimjibuje? @ Entertainment
Nilikuwa nimekaa zangu pande flani mara akaja dada akauliza "Iv walioenda kupokea ndege wamesharudi? Maana mume wangu simuoni" Nimjibuje? @ Entertainment
1gb JF-Expert Member Joined Jun 30, 2013 Posts 2,395 Reaction score 3,298 Jul 11, 2018 #2 Mwambie, atakuwa kapitiliza kwenye kamati ya Kwenda Manza City.
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,332 Reaction score 72,654 Jul 12, 2018 #3 MWAMBIE AMPIGIE SIMU AMUULIZE
Oworuganda JF-Expert Member Joined Feb 6, 2016 Posts 2,187 Reaction score 2,800 Jul 12, 2018 #4 Ameenda kusikojulikana
Vitalis Msungwite JF-Expert Member Joined May 11, 2014 Posts 3,318 Reaction score 7,985 Jul 14, 2018 #5 Mwambie walipopokea ndege tu wakaenda mbeya kutambika kwahiyo anasubiri treni ya j.tatu inayotoka Zambia
Mwambie walipopokea ndege tu wakaenda mbeya kutambika kwahiyo anasubiri treni ya j.tatu inayotoka Zambia
P chatila JF-Expert Member Joined Oct 1, 2015 Posts 375 Reaction score 283 Jul 14, 2018 #6 Baba wa Mapaka said: Nilikuwa nimekaa zangu pande flani mara akaja dada akauliza "Iv walioenda kupokea ndege wamesharudi? Maana mume wangu simuoni" Nimjibuje? @ Entertainment Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Baba wa Mapaka said: Nilikuwa nimekaa zangu pande flani mara akaja dada akauliza "Iv walioenda kupokea ndege wamesharudi? Maana mume wangu simuoni" Nimjibuje? @ Entertainment Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]