Kwa Myahudi anayefikiria kuuacha Uyahudi/Uzionist

Sideeq

JF-Expert Member
Dec 12, 2009
2,422
434
Peace be upon those who follow the Guidance,
Usifikirie kuwa haiwezekani kuachana na Uyahudi/Zionist, inawezekana! feel free to Pm me.
Thanks.
 
Sijaelewa! Kwani Uyahudi si ni kabila au? Hebu tufafanulie? Au ni imani?
 
Sideeq wewe ni kabila gani na kama huna kabila si ulizaliwa na mama yako? can you change that, ukasema hukuzaliwa na mwanamke?

post yako ni ya kipompompo!
 
Sijaelewa! Kwani Uyahudi si ni kabila au? Hebu tufafanulie? Au ni imani?
Kuna aina mbili za Uyahudi Uyahudi wa kabila na Uyahudi wa dini:
-Uyahudi wa kabila; hawa ni kama vile Yesu, Musa nk. sio lazima awe ni Myahudi wa dini.
-Uyahudi wa Dini; hawa ni watu walio katika dini ya Uyahudi, sio lazima wawe katika kabila za Watoto wa Israel, mfano mzuri ni Khazar Jews.
damn said:
Sideeq wewe ni kabila gani na kama huna kabila si ulizaliwa na mama yako? can you change that, ukasema hukuzaliwa na mwanamke?
Hebu soma vizuri maelezo yangu hapo juu.
By the way, kuna mtu aliyezaliwa Zionist?!
 
Back
Top Bottom