Kwa mwenye utaalamu wa engine ya corona premio

ligolyser

Senior Member
Joined
May 9, 2013
Posts
155
Reaction score
15
Ndugu wanajanvi wenzangu natatizo nahisi linanisumbua kichwa yangu,nina corona premio year1997 na cc 1998,bt nimekuta wamebadili engine wakaweka ya toyota limited kwa malengo ya kubana mafuta ili ifanye biahashara ya tax mjini,bt imekua ndo kimeo balaa kwan mafuta hainywi bali inabugia,na ktk milima inakosa nguvu kabisa, yaan ukiweka litre 5 kwa misele twn wala haimalizi siku inakata wese..hivyo nataka knunua engine nyingine soon so naomba ushauri ndugu zangu,,JE??? ninunue engine gani ya premio ambayo haitanisumbua ktk mafuta, pia haitaitaji modification nyingi ya kuipachika,walau ikimbie 13km\litre,na je bei yake pamoja na gear box ntaipata kwa bei gani??? na iwe ambayo fundi wetu wanaielewa vizuri,,,natanguliza shukrani kwenu,,,kwa wale wenzangu wenye kejeri na zarau za hapa na pale plllzzzzzz hapa co mahala pake kwan mi nahitaj msaada kutoka kwenu,usipo nisaidia wewe bac wapo wataalam apa janvin watatatua tatizo lang..asante:amen:
 
Toyota Premio inakuja na engine 7A, 3S au 3s ya D4, vizuri kma utapata 7A rudishia hapo mkuu ni nzuri sna, na hainywi mafuta,
 
Ndugu wanajanvi wenzangu natatizo nahisi linanisumbua kichwa yangu,nina corona premio year1997 na cc 1998,bt nimekuta wamebadili engine wakaweka ya toyota limited kwa malengo ya kubana mafuta ili ifanye biahashara ya tax mjini,bt imekua ndo kimeo balaa kwan mafuta hainywi bali inabugia,na ktk milima inakosa nguvu kabisa, yaan ukiweka litre 5 kwa misele twn wala haimalizi siku inakata wese..hivyo nataka knunua engine nyingine soon so naomba ushauri ndugu zangu,,JE??? ninunue engine gani ya premio ambayo haitanisumbua ktk mafuta, pia haitaitaji modification nyingi ya kuipachika,walau ikimbie 13km\litre,na je bei yake pamoja na gear box ntaipata kwa bei gani??? na iwe ambayo fundi wetu wanaielewa vizuri,,,natanguliza shukrani kwenu,,,kwa wale wenzangu wenye kejeri na zarau za hapa na pale plllzzzzzz hapa co mahala pake kwan mi nahitaj msaada kutoka kwenu,usipo nisaidia wewe bac wapo wataalam apa janvin watatatua tatizo lang..asante:amen:

Lete garage kwangu mkuu usiumize kichwa kama upo Dar hii. niPM number yako.
 
nashukuru kaka,ila naomba kujua zaidi inakua na cc ngapi? na je mafuta inakunywaje????vp kuhusu gear box ntaipata jumla complite kwa bei gani
 
Ndugu wanajanvi wenzangu natatizo nahisi linanisumbua kichwa yangu,nina corona premio year1997 na cc 1998,bt nimekuta wamebadili engine wakaweka ya toyota limited kwa malengo ya kubana mafuta ili ifanye biahashara ya tax mjini,bt imekua ndo kimeo balaa kwan mafuta hainywi bali inabugia,na ktk milima inakosa nguvu kabisa, yaan ukiweka litre 5 kwa misele twn wala haimalizi siku inakata wese..hivyo nataka knunua engine nyingine soon so naomba ushauri ndugu zangu,,JE??? ninunue engine gani ya premio ambayo haitanisumbua ktk mafuta, pia haitaitaji modification nyingi ya kuipachika,walau ikimbie 13km\litre,na je bei yake pamoja na gear box ntaipata kwa bei gani??? na iwe ambayo fundi wetu wanaielewa vizuri,,,natanguliza shukrani kwenu,,,kwa wale wenzangu wenye kejeri na zarau za hapa na pale plllzzzzzz hapa co mahala pake kwan mi nahitaj msaada kutoka kwenu,usipo nisaidia wewe bac wapo wataalam apa janvin watatatua tatizo lang..asante:amen:

Mkuu mbona hiyo injini ya corolla inatengenezeka kabisa labda iwe imekatika mablock,kuna mtu alinitisha kuhusu kufanyia overhaull gari yangu toyota duet akaniambia bora nifunge mpya ukiangalia bei ya mpya ni nusu ya overhaull nikaone ngoja nijaribu kuifanyia overhaull ili ni save pesa matokeo ikakubali fresh na juzi nilienda nayo tanga nikarudi nayo vizuri tu.
 
Overhaul nikijaribu kuangalia iyo engine inakua ndogo sababu premio body yake nikubwa so sijui kama itaweza kuhmili safari ndefu
 
ungekuwa miloa ya kati karibu na dar ningekushauri uje tutengeneze but kwa case hyo sijui kama bukoba kuna mafund wazuri wa engine, labda kununua 7A utupie hapo
 
naomba kuelewa engine ya 7A inakua na cc ngapi? na vp kuhusu kunywa mafuta,inakunywaje kwa klm ?
 
Back
Top Bottom