nashukuru kwa wote mliotoa ushauri kuhusu engine gani ya kununua ktk premio yangu,naombeni nifikishe kwenu ili swala,,,jmosi naenda kununua engine na niliamua kuchukua jukumu la kwenda kuchukua engine ya 7A kama wadau walivyonishauri,lakini fundi wangu anasema nibora ninunue engine kama iliyokuwemo kwani ya3s kwani nikiweka 7A itahitaji modification ya kuipachika,,nami naikwepa iyo ya 3s kwani cc zake nikubwa kwangu kwa upande wa mafuta,nami naitaji engine ambayo unywaji wake wa mafuta uwe mdogo walau 12km/litre,sasa iyo 3s ina cc1998,na iyo wadau mlionishauri 7A ina cc1700 kama sikosei,,sasa naomba ushauri ndugu zanguni,je nikweli iyo engine ya 7A nikiweka itahitaji modification kuipachika au nijanja ya fundi gari yangu ni corona premio year1997 na cc 1998,,nawakilisha wenu,.kwa wale wenzangu wa zarau,kejeli na matusi hapa co mahara pake wakuu,mimi nahitaji msaada ucpo nisaidia wewe bac wapo wataalamu watanisaidia.kazi njema