Kwa mwenye updates za moshi (v)na moshi (m)

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,840
Wadau wa jf natumai ni wazima wote kama kuna mtu yupo moshi vijijini au mjini atujuze kinachoendelea huko kwa bahati mbaya wengine tumepigwa pini hatukuweza kuwa maeneo hayo pia na sehemu nyingine za tz tunaweza kupeana updates ya kinachojiri huko asanteni.
 
Back
Top Bottom