Habar wana j.f! Natumia kaspersky 2013 na je kwa nin inataka nii update kila siku!??..
Nahitaji kui upgrade to kaspesky internet security 2013,kwa mwenye key za kaspesky internet security 2013 tafadhal naomba msaada!! Natanguliza shukran...

Suala la ku-update hua linawachanganya wengi sana, lakini from what I know ni kwamba kila mara database za Kaspersky hua zinaongezewa feature mpya ili kuweza kuendana na changamoto za virus zinazojitokeza kila uchao.
Kutokana na kuongezeka huko kwa feature mpya kwenye database kutailazimisha antivirus yako i-update ili kuendana na status mpya na uwezo mpya wa kupambana na changamoto mpya zilizojitokeza hadi kupelekea database kurekebishwa.
Kwa hiyo kama inakutaka ku-update kila siku wala usipate tabu, maana unaifanya iwe kwenye current state kila mara. Kusaidia hilo nenda kwenye setting zake na uset 'run update automatically' ili iwe ina-update yenyewe bila kukucommand kila mara ukiunga network.
Suala la key subiri wenye nazo watatupia hapa. Mchango wangu ndo huo.