Njiwa wangu
Senior Member
- Dec 5, 2020
- 146
- 289
Habarini zenu wanajamvi nahitaji gari ya kukodi kwa safari ya siku tano kutokea Kahama kwenda Katavi kisha Sumbawanga Mbeya na Iringa nakuja kutokezea Singida na kurudi.
Gari ninayohitaji yenye capacity 2000 kushuka Chini ila isiwe noah na iwe gari ambayo unaweza himili masafa hayo bila shida mimi nikuweka wese tu.
Karibuni PM nipo kahama mhungula unakuja mpaka nyumbani kwangu tunayajenga na kuandikiana mkataba pia