Kwa mwenendo huu sina budi kuhitimisha kuwa Kikwete ni RAHISI siyo RAIS

Poor economic analysis,rudi shuleni ndugu bado kabisa au ni QT product?.mnamhujumu kikwete kwa kutumiwa na mafisadi halafu mnasema kila kitu kimeharibika shwa..ni.

katafute sahihi ya invisible uisome vizuri, mkuu. Yaani signature yake
 

halafu yeye no anaweza kua wa kwanza kutekeleza hilo sharti we ngoja uone.
 

Hayo unayasema nadhani siyo akili yako. Sasa kama hakuna mtu anayemtetea Kikwete, Mbona mimi namtetea. Rais mpenda amani. Rais aliyeruhusu uhuru wa vyombo vya habari na watu wakapata nafasi kusema kila wanachokifikiria hata wewe MIBANGI sasa unaongea. Rais anayejali usawa kwa kuweka uwiano wa nafasi za uongozi kwa makundi yote' wanawake, vijana , wazee, walemavu. Rais aliyejitahidi kuwainua watu wa chini; Mapesa ya JK kwa ajili ya wajasiriamali wadogo, Pembejeo kwa ajili ya wakulima, mipango ya maendeleo kama MKUKUTA, MKURABITA TASAF yote hayo kafanya JK. wewe unayetukanaumesoma shule ya kata ambayo ambayo ni JK hyohuyo kaijenga. MLAMU baba yako aliyesoma kwa kodi za watanzania lakini ameishia kunywa pombe tu badala ya kukupa hayo maisha bora unayolilia

SUBIRINI RAIS WENU SHOGA, DIKTETA ambaye anajidanganya kwamba pesa za nchi hii zinatokana na vivutio toka kaskazini pekee, wakati kwetu kusini vipo na vinachangia pato la Taifa, kule kanda ya ziwa ndiyo usiseme kuna maziwa, madini, mbuga za wanyama mito. Siku akiwa rais tutamlazimisha kuendelea na sera yake ya MAJIMBO na tuone kama kelele zake hizo zitamfikisha alikodhania.
 
Watanzania tutaendelea kulalamika kwa makosa tuliyoyafanya wenyewe, huu niwakati wa kukaa na kutafakari haya yanayotokea na kuyachukulia uamuzi.
 
[QUOTE=Edson;2760989]wewe ndio matobolwa kweli......kwa akili yako kikwete nae ni RAisi au nembo tu? wacha kudanganywa watu na ndio maana sasa unaona masharti ya wanaomjazia bakuli lake wametoa sharti jipya....kama kweli anajali utu na ubinadamu angekataa misaada ya mwingereza lakini kwa kuwa hana utu ..yupo tu anang'aa sharubu[/QUOTE]

Kilichobaki ni kushikishwa kuta tu!
 
Ndugu yangu mchemsho yule anaitwa Benson Bana naye ni Dr.ila mie huwa namwita bansen bana kutokana na pumba zake,hana tofauti na JK ceremonial president asiye na power hata ya kukemea udini wala kufuta leseni za wahujumu wauza sukari
 

Hahahahaha...kweli ****** rahisi nasikia kavalishwa kanga na cameruuniii...teheteheee
 
Ngoja upumuliwe kisogoni na mwingereza ukiwa na bakuli lako la ombaomba mkononi na kiwete wako. Eti ohhoo MKURABITA, TASAF, nani aliyekwambia kiwete ndiye kaleta hayo?! Inaonekana umetoka Segerea hivi karibuni. Endeleeni kumsifia Dr. Dr. Dr. Dr. (Heshima UDOM, UTURUKI) RAHISI MKWERRE wakati chama ndiyo kinafia mikononi mwake. Pia, endeleeni kumbeza Dr. (PhD) Slaa na cdm huku chama kikiendelea kuchanga mbuga. Siku ikifika mtalilia chooni hasa ninyi ambao mpo radhi kupumliwa kidogoni kwa shida ya tumbo, ptuuuuuuhhh!!!!
 
kweli bangi ni mbaya sana.
 
Poor economic analysis,rudi shuleni ndugu bado kabisa au ni QT product?.mnamhujumu kikwete kwa kutumiwa na mafisadi halafu mnasema kila kitu kimeharibika shwa..ni.

Kajipangge halafu uje utueleze anahujumiwa kivipi?
 
madhara ya kunywa mbege kupita kiasi. angalia usiende kumfanyia fujo mwenzio ukifika nyumbani.
 

Kumbe hata wewe hujui kwamba serikali yako inao wajibu wa kukuletea maendeleo! Shuleni unasoma kwa bidii mwisho wake nini? Ajira au kujiajiri si eti? Ni nani mwenye kuleta ajira? Ni serikali au? Ok ninaamua kujiajiri, ni nani atanipa mkopo wa kuanzisha biashara? Ni serikali au? Biashara yako inahitaji umeme na je umeme unapatikana kirahisi? Wewe ni mkulima, je una bei nzuri ya mazao yako? Jiulize usinipe jibu.
 

Hao akina Bansen Bana na Mkaa Ndala ni wanafiki tu, siku Dr. wa ukweli akichukua nchi utawaona wanabeba ma-pH D kumtunuku. Ni heli mjinga mmoja kama twahil akiwa mnafiki kuliko wasomi wawili kama hao kuwa wanafiki-ni aibu kwa taifa!
 
Poor economic analysis,rudi shuleni ndugu bado kabisa au ni QT product?.mnamhujumu kikwete kwa kutumiwa na mafisadi halafu mnasema kila kitu kimeharibika shwa..ni.

Jenga hoja we fisadi dagaa kwani hao mafisadi si maswahiba zake na aliwanadi hata kwenye come-pain mwaka jana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…