P poriko New Member Apr 14, 2014 4 1 May 22, 2014 #1 Kama kuna mwanamke mweye umri wa miaka 28 hadi 40 ambae hana mtoto na anahitaji mtoto au watoto ambao ataweza kulea. Anakaribishwa, ukiwa tayari nitupa email tutawasiliana.
Kama kuna mwanamke mweye umri wa miaka 28 hadi 40 ambae hana mtoto na anahitaji mtoto au watoto ambao ataweza kulea. Anakaribishwa, ukiwa tayari nitupa email tutawasiliana.
mwekundu JF-Expert Member Mar 4, 2013 21,859 19,700 May 22, 2014 #3 kumbe hadi JF unaweza mnunua au mpata mtoto eeh?
64Bits JF-Expert Member Aug 4, 2012 961 563 May 22, 2014 #6 Kwa hiyo wewe kazi yako kutoa mbegu tu au mi ndo sijaelewa...?! Mbegu zenyewe usije kuta "fupifupi"!
alma gemela JF-Expert Member Feb 22, 2013 842 271 May 22, 2014 #7 Sijaelewa una watoto au unatoa mbegu
L LUTHER JR Member Nov 2, 2012 18 1 May 22, 2014 #8 poriko said: kama kuna mwanamke mweye umri wa miaka 28 hadi 40 ambae hana mtoto na anahitaji mtoto au watoto ambao ataweza kulea. anakaribishwa, ukiwa tayari nitupa email tutawasiliana Click to expand... Email.plz
poriko said: kama kuna mwanamke mweye umri wa miaka 28 hadi 40 ambae hana mtoto na anahitaji mtoto au watoto ambao ataweza kulea. anakaribishwa, ukiwa tayari nitupa email tutawasiliana Click to expand... Email.plz
masai dada JF-Expert Member Dec 29, 2013 15,697 12,422 May 22, 2014 #10 mmmh kuna kiumbe jana katangaza aano wa4 anatafuta wa kuwalea sio wewe mkuuu TENA ANA MATUSI SANA AISEEE @Husininyo
mmmh kuna kiumbe jana katangaza aano wa4 anatafuta wa kuwalea sio wewe mkuuu TENA ANA MATUSI SANA AISEEE @Husininyo