kwa mwanamke hajaolewa na anaehitaji mtoto ambae anaweza kumlea

poriko

New Member
Apr 14, 2014
4
1
Kama kuna mwanamke mweye umri wa miaka 28 hadi 40 ambae hana mtoto na anahitaji mtoto au watoto ambao ataweza kulea.

Anakaribishwa, ukiwa tayari nitupa email tutawasiliana.
 
Kwa hiyo wewe kazi yako kutoa mbegu tu au mi ndo sijaelewa...?! Mbegu zenyewe usije kuta "fupifupi"!
 
mmmh kuna kiumbe jana katangaza aano wa4 anatafuta wa kuwalea sio wewe mkuuu

TENA ANA MATUSI SANA AISEEE

@Husininyo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom