@DUASkuna link nlikuwa nashare na wewe nkajikuta ni open thread mpya badala yakushare hapa ichek
kuna mwandishi ' Richard son jaribu kusoma vitabu vyake, kumbuka waandishi wa vitabu sio wataalamu wao wanachukua kilichotafitiwa na wataalam , lazima uiweke ya mwisho kuwa ni not yet confirmed as a planet japo utaweleza characteriatics zake wajuw tu kuwa bado inatafitiwa lakini ipo sio dhambi mwalimu
Hata mi ilinipa shida sana . tutafute vitabu vinavyoeleza sifa za sayari ili tujue pluto imepoteza sifa zipi kuitwa sayari?
pole sana, kwa mimi nitafundisha kuna sayari nane.unaposema sayar ziwe katika mfumo wa jua basi na ziwe katika jua.ni kwamba kwa bahati mbaya sayari ya pluto haifikiwi na hizi sun rays nikiwa nina maana haifikiwi na miale ya jua.hvyo kutokana na udogo wake pia kutokufikiwa na jua ikafanya ipoteze sifa y kuwa sayar na kuondolewa kwasababu haipo katika mfumo wa jua. lakini majibu zaid yanakuja kwan wataalamu wa anga(NASA) walituma chombo kuelekea pluto na majibu wanasema kitafika mwez april 2016 kimebakiza kama kilomita mil.25 so tutajua zaid baada ya uchunguzi.