Kwa muonekano wa nje, Ikulu ya Dar es Salaam ni nzuri kuliko Ikulu ya Dodoma

UCD katika muendelezo wenu wa kusifia serikali hii muwe mnakubali mnapokosolewa, wewe hujui uzuri unapimwaje, hayo majengo mawii hata mtotowangu mdogo kabisa aweza kugundua lipi ni zuri kuliko jingine
Jibu swali acha siasa! Mtoto wako hatuhusu sisi. Uzuri wa jengo unapimwaje?
 
jana nilipoangalia nililazimika kugoogle kuangalia ikulu za marekani, rusia hadi korea, sisi sijui tunafeli wapi kwakweli
Watanzania hawathamini majengo! Ndipo hapo tunapo feli! Ebu angalia makao makuu ya chama kikuu cha upinzani, imagine CHADEMA wangekuwa ni washauli wa jengo la ikulu! Jengo hilo litafananaje?
 
  • Kicheko
Reactions: UCD
Kwa muonekano wa nje ikulu ya dar es salaam ni nzuri kuliko ya chamwino, japokua ikulu ya dar es salaam imejengwa kipindi Cha ukoloni na teknologia ilikua ndogo na bado ni nzuri kuliko ya chamwino Tanzania tunafeli wapi?
View attachment 1401003View attachment 1401005

Ebu angalia ikulu ya south Africa na ilijengwa kipindi Cha apartheid angalia ilivyokua nzuri

View attachment 1401031
Ikulu kama hostel za mabibo yaani nchii sijui imekosa wabunifu au vipi..watuambie labdo ni ikulu ya mda ya ukweli inakuja
 
Hiyo ikulu ya Dodoma ni mbayaaa. Jiwe akaona itamchoresha akaona aje na maneno eti ikulu kama ya Dar kwa muonekano wake itajengwa Dodoma. Najua bado atakuja na kituko. Eneo la ikulu lina miamba utadhani watachezea humo kombolela! Hovyo hovyo mipango.
kwamba watu wameishiwa ubunifu hadi kuiga ya Dar ndo ikajengwe tena Dom au? hii ni aibu maana hilo la Dom litaendelea kuwepo sasa kwa nn hawajengi majengo yenye ubunifu mzuri?
 
Kuhusu Mtumba mkuu yale majengo ya Wizara ni ya awali tu kila Wizara ina aina ya mjengo itakaoujenga baadae pale pale pembeni ya majengo ya sasa,yale yalijengwa mapema ili ofisi zipatikane na Wizara zisiende kupanga majengo na kuiingizia serikali hasara ila baada ya kuhamia kila Wizara itajenga jengo lake ilitakalo na mfano mzuri ni TAMISEMI wao tayari washajenga jengo lao la ghorofa pale.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa jengo la Tamisemi lina upekee gani,yaani cladding ya mavioo ndo jengo zuri lile? Hadi ofisi ya RC wa Manyara ni nzuri
 
1585377968857.jpeg

State house Kenya
 
Mkuu unania njema kabisa ya kizalendo kusifia vya nyumbani. Ila ukweli ni kwamba hata huo ukumbi ulioboreshwa ni MBAYA... wamefanya ukarabati wa hadhi ya nyumba ya mtu binafsi na sio UKUMBI WA IKULU!

Hebu angalia tiles za chini, Rangi waliyoichagua ni mbaya, haioneshi mng'ao kusadifu USAFI WA PAHALI PATAKATIFU a.k.a IKULU!

Wangeweza pia kuweka zulia la maana chini, angalia Dali la mbao lilivyo la hovyo!

Kweli walishindwa kuwapata mafundi wa kuzisugua hizo mbao zikawaka kama podium aliyokuwa anazungumzia Mh. Rais?

Tunapenda za kufanya mambo yetu ndio, lakini pia tunatumia watu wenye weledi na ufanisi kutufanyia kazi nzuri.

Ikulu Chamwino ni pakawaida sana. Hapaupi macho muwashawasha ya kupenda kuendelea kutazama si majengo tu Bali hata bustani haijaakisi makazi ya "MFALME!
Matumizi yanabanwa
Usanifu/mbwembwe hamna
Ni kuchagua bei ndogo ila haivutii macho ama bei kali na yenye kuvutia
 
Iliyopo ni ya muda tu Mkuu, inajengwa kama hii ya dar pale chamwino.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni uvivu na upuuzi kwa nini ku copy na ku paste,ubunifu umeisha? kwani lazima ikulu zifanane? Tubuni majengo mapya yenye kuvutia na kuzingatia usalama
Hii tabia inaendana na hulka ya watz walio wengi kuiaga yaani mtu kaona ramani ya nyumba ya x nae anaiga as if wabunifu wameisha yaani hatujui unqueness ni ujinga tuu
 
Unapoteza muda kujibu hii misukule? hawajui hata kama jengo hilohilo la ikulu wanayoisifia ndo linajengwa hapo Dodoma, hivyohivyo ikulu ya Dar ilivyo ndo itavyokuwa Dodoma.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ujinga na kukosa ubunifu,kwa nini kujenga jengo la ikulu ya kihistoria ya mkoloni ndo lihamishiwe Dom? kuna cha kujisifia hapa? huku ni kukosa ubunifu kwa watu wenye mavyeti kibao na mavitambi juu
 
Back
Top Bottom