johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,137
CCM wanataka kujua as if wao ndiyo wamekata rufaa hiyo!!Tafuta katiba uisome, usituchoshe.
Kwanza wewe umekaa rufaa? Au wewe ndiye Ester?
Kuna Katiba ya CDM na Katiba Ndogo? Tuelimishe tafadhali.Katiba ya CDM (2016) toleo la 2019 ibara ya 7.7.13 yahusika:
"BKT litakutana angalau mara moja kila mwaka. Vikao maalum vinaweza kuitishwa kadiri itakavyolazimu kwa mujibu wa Kanuni za chama." (Katiba Ndogo, uk65).
Katiba ndogo=Pocket size=xKuna Katiba ya CDM na Katiba Ndogo? Tuelimishe tafadhali.
CDM ni chama namba mbili baada ya CCM kwa vyovyote vile mambo yanayoendelea ndan yake kufatiliwa na watu wenye itikad tofaut hilo ni jambo tarajiwa na nadhan inapendeza zaid kufanya mambo yake kiweled km katiba yake inavyotanabaisha ili kujizidishia mvuto kwa wale wanaoifatilia.Kuna Katiba ya CDM na Katiba Ndogo? Tuelimishe tafadhali.
CDM ni chama namba mbili baada ya CCM kwa vyovyote vile mambo yanayoendelea ndan yake kufatiliwa na watu wenye itikad tofaut hilo ni jambo tarajiwa na nadhan inapendeza zaid kufanya mambo yake kiweled km katiba yake inavyotanabaisha ili kujizidishia mvuto kwa wale wanaoifatilia.
Katiba ndogo=Pocket size=x
Katibu kubwa=desk size=y
Kwa hiyo, maudhui ya x yako katika kurasa tofauti na maudhui ya y.
Hapo vipi?
Karibu Sumbawanga.
Kwetu kuchele!
Sijamaanisha kujibu ujumbe wako kumradhKuna Katiba ya CDM na Katiba Ndogo? Tuelimishe tafadhali.
Nimekuelewa mkuu!Katiba ya CDM (2016) toleo la 2019 ibara ya 7.7.13 yahusika:
"BKT litakutana angalau mara moja kila mwaka. Vikao maalum vinaweza kuitishwa kadiri itakavyolazimu kwa mujibu wa Kanuni za chama." (Katiba Ndogo, uk65).
Ndugai ndio Chadema?Wao si waende tu bungeni Ndugai kawahakikishia atawalinda.
Hayakuhusu wewe chakubimbi. Hatutaki tantalila zenu tunaitaka Tanzania kama uraya na Arusha yetu kuwa kama karufonyia.Katiba ya Chadema inatoa fursa kwa mtu aliyehukumiwa na kamati kuu kukata rufaa Baraza kuu endapo hajaridhiks na hukumu iliyotolewa dhidi yake.
Je, huchukua muda gani baraza kuu kuketi na kusikiliza rufaa baada ya rufani kupokelewa rasmi na Katibu mkuu?
Ni hako kaswali tu kwa uchache.
Maendeleo hayana vyama!
Esther huyu manzi wa Bikidude au Esther yule manzi wa Aishi?Tafuta katiba uisome, usituchoshe.
Kwanza wewe umekaa rufaa? Au wewe ndiye Ester?
Ila wee mchokozi Sana hahahaaaKatiba ya Chadema inatoa fursa kwa mtu aliyehukumiwa na kamati kuu kukata rufaa Baraza kuu endapo hajaridhiks na hukumu iliyotolewa dhidi yake.
Je, huchukua muda gani baraza kuu kuketi na kusikiliza rufaa baada ya rufani kupokelewa rasmi na Katibu mkuu?
Ni hako kaswali tu kwa uchache.
Maendeleo hayana vyama!