Kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA Rufaa zinatakiwa ziwe zimesikilizwa ndani ya muda gani?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
82,754
139,571
Katiba ya Chadema inatoa fursa kwa mtu aliyehukumiwa na kamati kuu kukata rufaa Baraza kuu endapo hajaridhiks na hukumu iliyotolewa dhidi yake.

Je, huchukua muda gani baraza kuu kuketi na kusikiliza rufaa baada ya rufani kupokelewa rasmi na Katibu mkuu?

Ni hako kaswali tu kwa uchache.

Maendeleo hayana vyama!
 
Je, katiba ya CCM inasemaje kwa kesi kama ya Kufukuzwa Ben Membe au yalikua maigizio?
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Katiba ya CDM (2016) toleo la 2019 ibara ya 7.7.13 yahusika:

"BKT litakutana angalau mara moja kila mwaka. Vikao maalum vinaweza kuitishwa kadiri itakavyolazimu kwa mujibu wa Kanuni za chama." (Katiba Ndogo, uk65).
 
Kuna Katiba ya CDM na Katiba Ndogo? Tuelimishe tafadhali.
 
CDM ni chama namba mbili baada ya CCM kwa vyovyote vile mambo yanayoendelea ndan yake kufatiliwa na watu wenye itikad tofaut hilo ni jambo tarajiwa na nadhan inapendeza zaid kufanya mambo yake kiweled km katiba yake inavyotanabaisha ili kujizidishia mvuto kwa wale wanaoifatilia.
 
Katiba ndogo=Pocket size=x
Katibu kubwa=desk size=y
Kwa hiyo, maudhui ya x yako katika kurasa tofauti na maudhui ya y.
Hapo vipi?

Karibu Sumbawanga.
Kwetu kuchele!
 
Katiba ya CDM (2016) toleo la 2019 ibara ya 7.7.13 yahusika:

"BKT litakutana angalau mara moja kila mwaka. Vikao maalum vinaweza kuitishwa kadiri itakavyolazimu kwa mujibu wa Kanuni za chama." (Katiba Ndogo, uk65).
Nimekuelewa mkuu!
 
Katiba ya Chadema inatoa fursa kwa mtu aliyehukumiwa na kamati kuu kukata rufaa Baraza kuu endapo hajaridhiks na hukumu iliyotolewa dhidi yake.

Je, huchukua muda gani baraza kuu kuketi na kusikiliza rufaa baada ya rufani kupokelewa rasmi na Katibu mkuu?

Ni hako kaswali tu kwa uchache.

Maendeleo hayana vyama!
Hayakuhusu wewe chakubimbi. Hatutaki tantalila zenu tunaitaka Tanzania kama uraya na Arusha yetu kuwa kama karufonyia.
 
Katiba ya Chadema inatoa fursa kwa mtu aliyehukumiwa na kamati kuu kukata rufaa Baraza kuu endapo hajaridhiks na hukumu iliyotolewa dhidi yake.

Je, huchukua muda gani baraza kuu kuketi na kusikiliza rufaa baada ya rufani kupokelewa rasmi na Katibu mkuu?

Ni hako kaswali tu kwa uchache.

Maendeleo hayana vyama!
Ila wee mchokozi Sana hahahaaa
Yaani umewazaaaa ukasena leo ngoja niwafukunyue Hawa watu
Watakupopoa
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom