Kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA Rufaa zinatakiwa ziwe zimesikilizwa ndani ya muda gani?

Katiba ya Chadema inatoa fursa kwa mtu aliyehukumiwa na kamati kuu kukata rufaa Baraza kuu endapo hajaridhiks na hukumu iliyotolewa dhidi yake.

Je, huchukua muda gani baraza kuu kuketi na kusikiliza rufaa baada ya rufani kupokelewa rasmi na Katibu mkuu?

Ni hako kaswali tu kwa uchache.

Maendeleo hayana vyama!
Bila shaka juna hela za EU waliahidiw a, au hata walipewa advance, kufanya fujo na kukataa kila kitu katakataka. Wamesoma namba wakaona kunde hawawezi kuwafukuza bawata 19 nchi itawaua, sasa wanajiuliza hela za EU watazirejeshaje? They are buying time against time, hope against hope.
 
Tuambieni kwanza kwenye ilani ya uchaguzi ya CCM 2020, ni ukurasa wa ngapi kuna makusudio ya kujenga miundombinu Chato?
 
Back
Top Bottom