minze manonu
Member
- Nov 27, 2013
- 50
- 16
Kuna huu mtindo ulionzishwa kwa miaka ya hv karibuni ya kufungua min Pub yaan unakuta sehem ya kama vyumba viwili pametengenezwa vizuri an ful kiyoyozi, panauzwa bia za kila aina na wahudum wake unakuta ni wanawake wa ukweli na ukimtizama mara moja tu lazima msismko maana nguo wanazovaa wakati wa kuhudumia ni kutimiza wajibu tu kuwa kavaa lakin mmmh., ama kweli kwa namna hii wanaume weng wataumia