kwa mtindo huu elimu yetu itafika tutakapo?

engmtolera

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,150
1,437
wana Jf
hebu angalieni haya mazingira kweli yanaweza kusaidia elimu yetu kukuwa?
mfumo mzima wa elimu ambao haulingani na mazingira halisi ya sehemu husika kama inavyo onyeshwa hapo chini yatamsaidia mwanafunzi kweli kufanya vizuri?
090925132951_guinea_school.jpg

msema ukweli hapendwiii daimaaaa:bump:
 
Duh,sasa hao wataweza shndana na watoto wanaosoma academy ,lol.,ukimkuta kichwa kweli ni kichwa,otherwise serikali itafute appropiate means to improve it.
 
Back
Top Bottom