kwa mtindo huu chadema inabidi ijipange 2015.

kwa mtindo huu chadema inabidi ijipange 2015.

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,650
Reaction score
21,012
wakuu kwa kitendo cha mkuu kuteua wabunge wa upinzani(hasa baada ya kuona juzi mageuzi wakipatana na chadema) naona ni kama anataka kutengeneza alliance ya vyama maana ameshaona ccm peke yake haitaweza shinda so tusijeshangaa 2015 CUF,mageuzi na CCM kuunga mkono mgombea mmoja. chadema ijipange kupambana na nguvu kubwa!
 
Ushauri umepokelewa Tulianza na Mungu Tutamaliza na Mungu pia nguvu yao haiwezi kuizidi nguvu a Umma
 
Bt CUF na mke mwenza NCCR hawana influence kuzuia NGUVU YA UMMA (CDM) ktk sanduku.hivyo vyama vishaisha.
 
But inabidi tujipange lakini what about jk anapanga kumpa zitto uwaziri wat do u see in that???????????? CDM army
 
Last edited by a moderator:
tunajua ndio nia ya jk kupunguza nguvu ya upinzani,lakini hapo ndio katuongeza nguvu kwa kutuonesha waziwazi wanafiki.
Mpinzani wa kweli hawezi kukubali kufanya kazi na serikali iliyo shindwa.

Kamwe hatoweza kushindana na nguvu ya umma
 
Wewe jikalie tu hapo ki-hasara hasara hivo hivo, CCM kitakutana na watu njiani tukirudi wanakokwenda wao hivi leo. Bila sikio la tatu hajang'amua kitu hapa.

Kwa kheri!!

wakuu kwa kitendo cha mkuu kuteua wabunge wa upinzani(hasa baada ya kuona juzi mageuzi wakipatana na chadema) naona ni kama anataka kutengeneza alliance ya vyama maana ameshaona ccm peke yake haitaweza shinda so tusijeshangaa 2015 CUF,mageuzi na CCM kuunga mkono mgombea mmoja. chadema ijipange kupambana na nguvu kubwa!
 
Zitto akikubali uwaziri wa kikwete atakuwa anaihujumu chadema na sisi wanachadema hatutakubaliana nae! Tunataka kuchukua nchi 2015 yeye akikubali uwaziri at the expense ya ushindi wa chadema 2015 ni bora kufika 2015 chadema ikiwa bila zitto! Ahamie CCM au NCCR! Mimi nimechoshwa na hili wingu la kutokufahamu na kuwa na uhakika na msimamo wa Zitto! Nampenda sana kutokana na historia yake ndani ya CDM ndo maana napata shida anapohusishwa na USALITI dhifi ya CHADEMA.
 
Wewe jikalie tu hapo ki-hasara hasara hivo hivo, CCM kitakutana na watu njiani tukirudi wanakokwenda wao hivi leo. Bila sikio la tatu hajang'amua kitu hapa.

Kwa kheri!!
good point! you mean ccm wanapita watu walikopita. hata hivyo misijakaa kihasarahasara.
 
Hata akiwateua sisi haitusaidii wala kutupunguzia kitu,kwa sababu inajulikana wazi chama cha upinzani ni CDM tu,hao wengine ni CCM tumejipanga vizuri kwa lolote litakalotokea,
CHADEMA FOR LIFE.
 
Back
Top Bottom