Kwa mtindo huu ajali zitapungua kama sio kuisha kabisa?

mende 2014

JF-Expert Member
Apr 13, 2014
763
131
Magari madogo maarufu kama hiace yanabeba watu kwa kubananisha ndani ya gari halafu juu ya bodi wanajaza mizigo kama mnavyoona hapa.
Je, askari wetu wa usalama barabarani hawaoni,? Ajali ikitokea ndipo sababu zitakuwa nyingi Wakati wanakuwa wanawaona tu. Hapa kuna majipu yaliyoiva.
 
Back
Top Bottom