HUU sio muandiko wa kiaskari....hujawahi ata kupitia mafunzo ya mgambo....askari huwa aandiki kama mtu anae kimbizwa na tembo....hakuna lolote litakalo mkuta IGP kwa maana kila lifanywalo na mtoto jua fika lina baraka kutoka kwa BABA yake.
Sidhani kama uko sahihi kuna askari wana ufahulu mzuri na niwengi tu na ninadhani ufahulu unao kuzidi hata wweKuna askari anaebeba kirungu ana div 3 hata, wote ni iv ya 30, unategemea atakua na handwriting nzuri kama ya mtu mwenye div 3 ya 25
Bendera ya uganda ina rangi ngapi...? Bendera ya Tanzania ina rangi ngapi...? HuoNi tofauti za rangi tu kwenye bendera...? Yani naakili zako unaifananisha Nchi ya Tanzania na mkoa...?Unajua kilichomtokea aliyekuwa mkuu wa jeshi la polisi uganda, au umeamua tu kuleta shombo za kiccm huku
Hujamsaidia huyo rafiki yako kama kweli unampenda zaidi kupika tu majungu then awaone wasaidizi wake yaani ma RPC kuwa ni wabaya kwake....ningekuwa mimi Sirro ningeanza na wewe kwanza kukushughulikia
Bora umenisaidia...kunywa soda nitalipaSio kwa tz hii
Hata ma igp waliopita mlisema hivo hivo lakin haoooo wanakula zao pensheni kiroho safi...maisha yenyew mafupi aya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usisahau kuwa uganda tumeipatia uhuru sisi Watanzania...uwezi jua kuwa hadi leo bado tuna wapangia mambo yaoUnajua kilichomtokea aliyekuwa mkuu wa jeshi la polisi uganda, au umeamua tu kuleta shombo za kiccm huku
HUU sio muandiko wa kiaskari....hujawahi ata kupitia mafunzo ya mgambo....askari huwa aandiki kama mtu anae kimbizwa na tembo....hakuna lolote litakalo mkuta IGP kwa maana kila lifanywalo na mtoto jua fika lina baraka kutoka kwa BABA yake.
Sidhani kama uko sahihi kuna askari wana ufahulu mzuri na niwengi tu na ninadhani ufahulu unao kuzidi hata wwe
Pia swala la uaskari halina mahusiano ya moja kwa moja na haitegemei sana ufahulu wa darasani kwa elimu hii ya maingi (sekondary) ndio maana kukawa na kozi maalum ya vyombo vya ulinzi na kuna miiko yake pia
Elimu ya sekondari ni elimu msing lazima upitie ila unaweza kupewa kozi bila kupitia huko na ukafanya vyema
Usichanganye mambo na wala usikashifu askari na vyombo vyetu vya ulinzi na wala sio tarajio na malengo ya uzi huu
maana kwa uwepo wao amani ipo tukiacha na hao wachache wanao lichafua jeshi
Hizo ni ndoto za mchana kama kufungwa angefungwa mkapa...ila yupo wapi hivi sasa...?Anaweza kuwa na Baraka za Baba yake lakini ukumbuke Wapo wakubwa kuliko Baba yake aliempa Kazi ,anafungwa na Mikataba ya Kimataifa ya Haki za Binadamu..Hebu fikiri zaidi ya hapo Mkuu.
Umempa alicho stahiliNatambua unaweza sana kutumia nguvu kuliko akili na sina shaka na hilo
Hoja yangu haihusiani na nani anaujua mlango wa depo na nani haujui na wala sishindani na wewe ulie mkuu sana katika hilo maana kwa hilo utanipaka ujinga ulio nao
huna mali yoyote...wenye mali huwa atujitapi...narudia tena ata mlango wa depo wewe hujawahi kuukanyaga...hakuna lolote litakaloweza kumpata IGP...na ni kuhakikishie tu kuwa IGP sirro atastaafu salama kama watangulizi wake walivyostaafu kwa heshima....ivi kuna IGP aliyepata kashfa kama OMARI MAHITA...? yupo wapi hivi sasa...? kuna baya lililowahi kumkuta...?
Hapo umekosea sasa...ni haki ya kila mtanzania kuilinda nchi yake...haijarishi uwe umefaulu ama umefeli...wala hakuna sehemu yoyote kwenye katiba palipo ainisha elimu juu ya kiongozi haswa hawa walinzi wa kitaifa...wapo wanasiasa waliofeli...wapo walimu waliofeli...kueli kupo kila sehemu na wengine wanafeli ata maisha pia...wasomi wengi wapo majeshini haswa huko polisi ndio maana leo nchi yetu ni ya Amani sana...Hakuna askari mwenye divi 3 akawa mlinda benki wewe, waleeeee wooooooootee unaowaona wanazunguka mtaani ni vyeti vya kununua au 4 za mwisho
Kimbilio la waliofeli ni UPOLISI
Endelea kuota sijui hiyo ndoto unayoota itaisha lini...kwa faida yako tu...unadhani kwanini magu alimuondoa Mangu...? Unadhani kwanini alitengua baraza la mawaziri...na unadhani ni kwanini kila rais lazima atengue uongozi punde tu aingiapo madarakani...?Siku hazigandi na kila Zama na Kitabu chake ,Maisha walio Ishi Babu zako sio unayo yaishi wewe kwa Wakati huu Mkuu.
Hii nchi ina wenyewe...unacho zungumza hakitatokea...na hakiwezi kutokea kamweUbishi usio na maarifa nu ujinga jifunze kwamba kuna kitu kinaitwa nyakati maana naona bado upo kimazoea
Kwa akili ya mjinga yeyote na aliye mpumbavu wa akili , mali, hekima , na busara hakika ni lazima awe na mawazo ya mfano wako
Si vibaya kwani msafara wa mamba kenge wamo pia na hili jukwaa linakusanya aina zote za watu.
Nilidhani ungekuwa na busara tena sana kama ungeniuliza hivi , ""kwanini umeamua kuleta huu uzi huku ili hali IGP SIRRO mnafahamiana??"" Kidogo hapo ningekuona una kichwa, lakini kwa ujinga ulio toa wewe hakika yafaa nilivyo kujibu
mapoti wanashikana mashatiHujamsaidia huyo rafiki yako kama kweli unampenda zaidi kupika tu majungu then awaone wasaidizi wake yaani ma RPC kuwa ni wabaya kwake....ningekuwa mimi Sirro ningeanza na wewe kwanza kukushughulikia
Hizo ni ndoto za mchana kama kufungwa angefungwa mkapa...ila yupo wapi hivi sasa...?
Endelea kuota sijui hiyo ndoto unayoota itaisha lini...kwa faida yako tu...unadhani kwanini magu alimuondoa Mangu...? Unadhani kwanini alitengua baraza la mawaziri...na unadhani ni kwanini kila rais lazima atengue uongozi punde tu aingiapo madarakani...?