kwa wale wanaopenda kujua kuhusu freemasons wa tune clouds tv siku ya halhamisi saa 3 kamili usiku kutakuwa na mahojiano kuhusu freemasons yakumhusisha east africa lodge grand master mr.chande.
Haya angalieni wenyewe muache story za vijiweni
ntasikiliza but hakuna watu wajinga duniani kama these shits fremsns, na ni hatari sana kwa jamii kama zetu ambzo zimekata tamaa y maisha, elimu kidogo na kutegemea zaidi mambo ya miujiza