Niliandika thread kwaajilli ya kumhamasisha Lara 1 kwa pongezi na namna anaweza fanya zaidi, ajabu wengine wakadai ni gia ya mm kumtongoza. Muulizeni kama ana PM yoyote kutoka kwangu, au kama huwa naonekana kwny post zake ku cc na kadharika.
Thread yenyewe ni hii:
Ushauri kwa Lara 1
Nilimwambia ujumbe ule kwa mapenzi mema, sikwenda mbali zaidi ya hapo.
Asanteni.