Kwa mliopo Morogoro: njooni tufanye biashara

Masoudy01

Member
Sep 16, 2014
15
3
Pata dagaa safi kutoka Mwanza, ni wakubwa na wameandaliwa kwa ustadi na unadhifu, unaweza kununua kwa matumizi ya nyumbani (mboga) au kwa biashara.
Tunauza kwa bei ya jumla na rejareja pia,

BEI
Pact 1; jumla= Tsh 700 na rejareja 1000
Kg 1= Tsh 12,000
Ndoo ya lita 20 enye kubeba kg6 ni Tsh 60,000

Mawasiliano:
Simu: 0755049291/0715653848

Karibuni sana, tupigie tutakuletea mzigo ulipo ndani ya morogoro mjini

Kumbuka: Dagaa wetu ni wapya, wazuri sana na hawana uchungu hata ukiwatafuna wakiwa wakavu, hukaangwa Mara tu baada ya kutolewa ziwani, ie wakiwa bado wabichi.
 
Mimi sipo Morogoro ila kama kweli wanazo hizo sifa basi utapata wateja, kumbuka man earns money to get material welfare.
 
Bora yako mkuu.... umeamua kujiajiri kwa kusambaza dagaa kutoka mwanza na kuwapeleka morogoro" humu ndani kuna watu wazima wanashinda mitandaoni kazi yao kubwa ni kujadili uongozi wa Mheshimiwa Magufuli na Paul Makonda" Ndugu zangu tubadilike tuanze kuchapa kazi coz zama zimebadilika kwa sasa hakuna vya bure tena.
 
Pata dagaa safi kutoka Mwanza, ni wakubwa na wameandaliwa kwa ustadi na unadhifu, unaweza kununua kwa matumizi ya nyumbani (mboga) au kwa biashara.
Tunauza kwa bei ya jumla na rejareja pia,

BEI
Pact 1; jumla= Tsh 700 na rejareja 1000
Kg 1= Tsh 12,000
Ndoo ya lita 20 enye kubeba kg6 ni Tsh 60,000

Mawasiliano:
Simu: 0755049291/0715653848

Karibuni sana, tupigie tutakuletea mzigo ulipo ndani ya morogoro mjini

Kumbuka: Dagaa wetu ni wapya, wazuri sana na hawana uchungu hata ukiwatafuna wakiwa wakavu, hukaangwa Mara tu baada ya kutolewa ziwani, ie wakiwa bado wabichi.
hizo pact zinaujazo wa gram ngapi ?
 
Weka picha ya hizo dagaa tuwaone

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom