thirteen06
Senior Member
- May 17, 2021
- 137
- 120
😍[emoji445][emoji445]Huyooo ni chaguo lakooo
Chaguo lako
Huyo ni chaguo lakooo
Chaguo lako[emoji445]
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Umemaanisha nin mamy?Thank you God for this wonderful gentleman![emoji120]
Thanks one again!
Hivi mi na wewe ni wa "anyway" kama alivosema mleta mada ?☺️[emoji7][emoji7][emoji7]
Hatuwezi kuwa wa anyway bwana swali gani hili?hivi mi na wewe ni wa "anyway" kama alivosema mleta mada ?[emoji3526]
I hope you have landed somewhere you deserve.Thank you God for this wonderful gentleman![emoji120]
Thanks one again!
nimeona nijiwahi tuuuHatuwezi kuwa wa anyway bwana swali gani hili?
upo sahihi kabisaPreference zako kwa mahusiano ni tofauti na za wengine, vigezo vyako vya mke bora haviwezi kuwa sawa na vya mwingine kwa hiyo cha kukushauri wewe anglia unaeona anakufaa na amekidhi vigezo vyako weka ndani
Ukisema kila mtu aseme experience yake hapa, mwingine atakwambia alipenda tu kucha akaamua kuoa, mwingine atasema amempendea tabia, mwingine atasema amependa macho yake, mwingine atakwambia mke wake ana akili kwa hiyo ameoa ili apate watoto wenye akili na kuna wanaume wa dar watakwambia wife kwao wana uwezo kwa hiyo ameoa ili apate urahisi wa maisha
Sijui umeelewa lakini, au niongeze sauti
Anyways, wenye wake zao wanakuja
[emoji445][emoji445]Huyooo ni chaguo lakooo
Chaguo lako
Huyo ni chaguo lakooo
Chaguo lako[emoji445]
[emoji16][emoji16][emoji16] what do you mean!?I hope you have landed somewhere you deserve.