Kwa mlio kwenye ndoa na wengine karibuni

Kwa mlio kwenye ndoa na wengine karibuni

kwakiasi kikubwa kutokana na uelewa wangu katika ndoa.wake zetu ndio chanzo kwa waume kuchepuka maana kwenye uchumba anakua mtiifu ukisha muweka ndani yeye ndio hugeuka baba na ukisha mzalisha ndio kabisaaa huduma zote kwa dada wakazi.

Ni kweli kabisa Mohamedi , wengine hawajui kwa nini Wanaume wengine wanachepuka.Wapo wanawake wengine kila siku mume akirudi nyumbani kelele mwanzo mwisho.Sasa bwana ataacha kuchepuka kweli? Mianamike mingine hata haijipambi kama awali utafikiri ni kinyago fulani hivi. Mbona ni balaaaaa.
 
kwakiasi kikubwa kutokana na uelewa wangu katika ndoa.wake zetu ndio chanzo kwa waume kuchepuka maana kwenye uchumba anakua mtiifu ukisha muweka ndani yeye ndio hugeuka baba na ukisha mzalisha ndio kabisaaa huduma zote kwa dada wakazi.

Nakuunga mkono mkuu kwa asilimia zote
 
ustashi ndo nani?au ulimean ustadhi......ok acha nkujib bibie fanya 2+4+4+3+2 hapo bado na swala za sunna vipi waneed nkuteach tushirikiane ktk ibada
Uswali zote hizo jf umwachie nani? Teh muda wote nakuona unazunguka zunguka humu
ahsante ustadh mi muumini wa jumapili
 
Back
Top Bottom