ustadhijuma
JF-Expert Member
- Jul 20, 2015
- 3,133
- 2,117
- Thread starter
- #21
Sio wote wenye mchepuko wameitelekeza familia
ni kweli mkuu lkn kila mwenye mchepuko kama hakutelekeza familia basi jua hatotimiza mahitaji ya familia
Sio wote wenye mchepuko wameitelekeza familia
Ameen😀😀😀
Amini nakuambia, kabla jua halijazama ntakuwa nimeku pmNaam..........tigo ndo mtandao pendwa michepukoni.
Hapa ni kama unaulizia nywele saluni.
Amini nakuambia, kabla jua halijazama ntakuwa nimeku pm
We wasema!!!Na ole wako jua lizame.... ntakutokea usiku. Amin Amin nakuapia, KY haitahusika.
We wasema!!!
..... ntajipaka hata kabla sijalala
Te te teeeeeee 😂😂mke niliemuoa sio niliemtalajia, hivyo nahisi mchepuko unanipa amani ya moyo sana, hauna matumizi makubwa wala hauombi pesa sema tatizo lake na wenyewe unachepuka.
Nashangaa post nzuri kama hizi watu hawazichangamkii! lakini post zinazoendekeza na kushabikia michepuko zina page kibao! Ina maana humu ndani asilimia kubwa ni kina baba na kina mama na mabinti wa michepuko? Mbona miss nanhii na nanhii dada hamchangamkii Uzi huu? naogopa mie!
We wasema!!!
..... ntajipaka hata kabla sijalala
We wasema!!!
..... ntajipaka hata kabla sijalala
muogopeni mungu jamani
Ustashi umeswali ngapi leo?muogopeni mungu jamani...Je mkifa huku mwazini mtamjibu nn mola wenu?
Ustashi umeswali ngapi leo?