ustadhijuma
JF-Expert Member
- Jul 20, 2015
- 3,133
- 2,118
Na wote tuseme Ameen
Nasikia huwa kuna tigo, labda umuulize Asprinhivi kweny michepuko kuna nini mnanitamanisha ebu mtujuze wengine
Kazi nzuri sana ndugu,
hongera kwa darasa, tatizo kubwa la wanandoa ni kukosa hofu ya MUNGU tamaa za ibilisi ndio zinazotenda kazi ndani ya wanadamu,
hakika hofu ya MUNGU ikiwa ndani ya mtu basi hata matendo yake yatakua na unyofu kwa ukamilifu,
..tena usiombe kutana na IBIRISI chambia msumeno ndo kabisaa atakuvuruga,....