ustadhijuma
JF-Expert Member
- Jul 20, 2015
- 3,133
- 2,117
Wangapi na wangapi wamejenga majumba lkn hawakuyakalia wamekusanya mali lakini hawakuzila na wengine wamezila lakini hawakushiba.
Ulizaliwa na mama yako ewe mwanaadamu huku unalia na watu pembeni yako wakifurahia tendea wema nafsi yako ili utapokufa wewe uwe unafurahi na watu wawe wanakulilia.
Sio umekufa we unalia kwa adhabu na watu,wanakulilia hivi kwa ni lini utaacha mchepuko wako na kurudi kwa mkeo? Je ni wangapi mnahudumia michepuko mnaacha familia zikitaabika? Je mtajibu nini kwa Mola wenu?
Kuanzia sasa uache mchepuko wako rudi kwa mkeo/mmeo.
Tutendeane mema jamani kwenye ndoa uadui haufai