Watu hawana huruma kabisa.Hapo hujauziwa primer [emoji28][emoji28]
Kariakoo Gerezan ukienda na wenge tu wanakula kichwa
Kashapigwa mtu mapema sana 🤣Nchi ngumu sana hii.
Hatuwaamini mafundi kuwapa kununua wenyewe lkn kumbe ni bora kuongozana nao mara zingine kwakuwa expirience yetu ni tofauti na yao.
Watu hawana huruma kabisa.
Nimeshajua mnapochkua vitu substandard tena mnajaaga kweli hapo.mafund ni lazima wakuibie.na wakiona unakomaa hakusanui kama sehem fulan sio.ndio kujifunzaHatuwaamini mafundi kuwapa kununua wenyewe lkn kumbe ni bora kuongozana nao mara zingine kwakuwa expirience yetu ni tofauti na yao.