Fortuner itakumwaga sio sawa sawa endelea kuuliza uliza..Ni
Nimezoea gari za chini nikiwa 120 kph zinatulia vizuri sasa nataka kuhamia humo watu wananiambia nikiwa 120 kph litanimwaga
Unajua kodi ya fortuner mazee au mkishiba chapati maharage tu unakuja kuulizia..Duu
Basi itakuwa hainifai
Mzee wa south mbona unataka kuharibu,, nataka experience ya fortuner ya 2012 najua kodi yake ni around milioni 38,, milioni 70 gari inafika tz bila shida,, mimi nataka kujua je ni stable barabarani?Unajua kodi ya fortuner mazee au mkishiba chapati maharage tu unakuja kuulizia..
Kodi yake sio mchezo..... Ningekuwa wewe ningenunua GD 6 double cab na sio fortuner..... wanaozimiliki baada ya muda wanalalamikia kupungua kwa nguvu...Common engine kwetu ni 2.7 l cylinder 4.. 2tr ila mimi nataka 1kd diesel 3.0l D4D
Unajua tuner imeshea vitu vingi Sana na double cabin hadi chassis labda miguu tuu ya nyuma turner ana coil springs na hilux ina leaf springKodi yake sio mchezo..... Ningekuwa wewe ningenunua GD 6 double cab na sio fortuner..... wanaozimiliki baada ya muda wanalalamikia kupungua kwa nguvu...
Hapa umeuliza vizuri ngoja nikupe madini kidogo ukitaka fortuner nunua ya kuanzia 2018 mpaka 2021 bei yake itakua kubwa kidogo ila kodi itakua nafuu kuliko kununua hiyo ya mwaka 2012 kwa bei ndogo ila kodi kubwa hapa ukiniuliza tunaenda sawa Mkuu..Fortuner ni gari bhana ina engine ya GD 6 kama ya kwenye hizo Hilux legend 45 haya uliza kingine mkuu usije kusema sikupi taarifa ukashindwa kuleta Fortuner mtaani wakati mimi nataka zijae hapo..Mzee wa south mbona unataka kuharibu,, nataka experience ya fortuner ya 2012 najua kodi yake ni around milioni 38,, milioni 70 gari inafika tz bila shida,, mimi nataka kujua je ni stable barabarani?
Hii generation iko stable barabarani?Hapa umeuliza vizuri ngoja nikupe madini kidogo ukitaka fortuner nunua ya kuanzia 2018 mpaka 2021 bei yake itakua kubwa kidogo ila kodi itakua nafuu kuliko kununua hiyo ya mwaka 2012 kwa bei ndogo ila kodi kubwa hapa ukiniuliza tunaenda sawa Mkuu..Fortuner ni gari bhana ina engine ya GD 6 kama ya kwenye hizo Hilux legend 45 haya uliza kingine mkuu usije kusema sikupi taarifa ukashindwa kuleta Fortuner mtaani wakati mimi nataka zijae hapo..
Yap ipo stable ipo faza..Hii generation iko stable barabarani?
Nashukuru SanaGD 6 Ni hatari.... fortuner na hilux ni almost gari moja.. very comfy.. very nice car... kwa budget 4 x 4 hakuna nyingine zaidi ya hizo. Its just soooo reliable, inaenda kokote. Speed nzuri up to 140 inatulia tuu... nasisitiza na kushauri kama mdau alivyosema ongeza budget kidogo ukamate kitu cha 2019 ivi 2.4 au 2.8 GD 6... ambazo ni engine za 1GD au 2 GD.... 1GD ni 2.8, ina nguvu na speed zaidi kidogo na consumption pia ni kubwa kidoogo zaidi ya 2 GD which is more economy..but all soo reliable.. karibu kwenye ulimwengu wa hilux na fortuner..
Wewe waonaje?