Tunzo
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 4,123
- 2,446
Mkuu nimepata sms yako kwachitaji la nyumba ,nyumba zipo najua umenitafuta whatsApp umenikosa ukaamua kutuma sms ya kawaida, nimejaribu kureply kawaida imekataa naomba unicheki kwa whatsApp jumatatu coz sipo online kwa sasa, ila kwa maeneo ukiyoniambia ya mwenge,kijitonyama,mlimani,Mbezi beachzipo